Ads: info@gazetini.co.tz |
29.2 C
Dar es Salaam

Kitaifa

Askofu Mkuu Gervas Nyaisonga achaguliwa Rais mpya wa AMECEA

Na mwandishi wetu, Gazetini ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Mbeya, Mhashamu Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga, amechaguliwa kuwa Rais mpya wa Shirikisho la Mabaraza ya...

Simba yaipiga bao Yanga, yamtambulisha Keletso

Na mwandishi wetu, Gazetini BAO la kisigino! Ndivyo unavyoweza kuita baada ya Simba kumtambulisha winga wa kimataifa wa Afrika Kusini, Keletso Makgalwa. Nyota huyo aliyecheza Sekhukhune...

Simba Queens yafyeka ‘maproo’ wanne

Na mwandishi wetu, Gazetini KATIKA kujipanga kwa ajili ya msimu ujao wa 2026-27, benchi la ufundi la Simba Queens limewapa mkono kwa kwaheri nyota wake...

Dk. Nchimbi: Utawala bora katika nchi ni katiba, pambaneni

Na mwandishi wetu, Gazetini MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Emmanuel Nchimbi, amewataka Watanzania kuendelea kudai kupatikana kwa Katiba mpya yenye...

Tanzania yaidhinisha ombi la Sh trilioni 1.5 kupambana na UKIMWI…

Na mwandishi wetu, Gazetini KAMATI ya Kitaifa ya Kuratibu na Kusimamia Fedha za Mfuko wa Dunia nchini Tanzania (TNCM) imeidhinisha rasmi ombi la Tanzania la...

Dc Temeke avitaka vyombo vya dola kuchunguza showroom za magari

Na mwandishi wetu, Gazetini MKUU wa Wilaya ya Temeke, Sixtus Mapunda, amevitaka vyombo vya ulinzi na usalama kufanya uchunguzi katika showroom za magari wilayani humo...

Serikali yatoa masharti ya kurejea kwa mikutano ya hadhara

Na Ramadhan Hassan, Dodoma SERIKALI imesema uamuzi wa kusitisha kwa muda mikutano ya hadhara umetokana na sababu za kiusalama baada ya vyombo vya ulinzi na...

Tanzania yashiriki mkutano wa AU kujadili ufadhili wa maendeleo ya viwanda

Na Ramadhan Hassan, Gazetini NAIBU Waziri wa Fedha, Mshamu Ali Munde, kwa niaba ya Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar, ameongoza ujumbe wa Tanzania...

Matajiri wa Katoro walivyolisimamisha Jiji

Na Hassan Mwasha VIDEO iliyosambaa mitandaoni ikiwaonesha wafanyabishara matajiri kutoka wilayani Katoro mkoani Geita wakimwaga pesa katika sherehe 'ime-trend' hivi karibuni kwenye tasnia ya burudani...

BoT inavyolinda mfumo wa fedha dhidi ya utakatishaji

Na Esther Mnyika, Gazetini MFUMO wa fedha ulio salama na unaoaminika ni nguzo muhimu ya ukuaji wa uchumi na kuvutia uwekezaji. Hata hivyo, mafanikio hayo...

Kakurwa: OSHA ni taasisi muhimu katika kuchochea maendeleo ya Taifa

Na mwandishi wetu, Gazetini OFISI ya Msajili wa Hazina imesema Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) ni miongoni mwa Taasisi muhimu kwa...

Video ya Diamond yazua gumzo hatima ya Zuchu

Na mwandishi wetu, Gazetini SIKU chache tu baada ya taarifa za Diamond Platnumz kuachana na Zuchu, imeibuka video ya bosi huyo wa Lebo ya Wasafi...

Recent articles