Ads: info@gazetini.co.tz |
29.6 C
Dar es Salaam

Kitaifa

Benki ya Dunia, Serikali kukamilisha mpango wa kuongeza ajira kwa vijana

Na Mwandishi Wetu, Gazetini SERIKALI ya Tanzania na Benki ya Dunia zimefanya kikao cha pamoja cha kuhitimisha maandalizi ya kitaalamu ya Programu ya Uendelezaji wa...

Tume yabainisha matamanio ya Serikali kulinda afya na usalama wa watumishi wa umma

Na mwandishi wetu, Gazetini TUME ya Utumishi wa Umma imesema serikali ina nia ya dhati ya kuhakikisha watumishi wa umma wanakuwa salama na wenye afya...

Ndejembi awasha umeme Mwanubi

Na mwandishi wetu, Gazetini WAZIRI wa Nishati, Deogratius Ndejembi, amewasha umeme katika Kitongoji cha Mwanubi mkoani Shinyanga na kusema kuwa huduma ya umeme ni hitaji...

Nafasi ya Serikali za Mitaa katika utekelezaji wa Dira 2050

Na Hassan Mwasha SERIKALI za Mitaa hapa nchini zimepitia mabadiliko mbalimbali kwa nyakati tofauti. Mathalan, mwaka 1962, Serikali ilifuta utawala wa kimila na kuanzisha Serikali...

Msando: JET iendelee kuibua uharibifu wa vyanzo vya maji

Na mwandishi wetu, Gazetini MKUU wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando, amekipongeza Chama cha Waandishi wa Habari za Mazingira Tanzania (JET) kwa kuendelea kuandika na...

‘180 bure’ ilivyobadili sura ya Kitengo cha Miito ya Simu TANESCO

Na Hassan Mwasha, Gazetini SHIRIKA la Ugavi wa Umeme nchini (TANESCO) lina mengi ya kujivunia katika miaka ya hivi karibuni lakini kubwa zaidi ni uboreshaji...

MO Dewji: Simba ni kubwa kuliko changamoto tunazopitia

Rais wa Simba SC, Mohammed Dewji, amewataka wanachama na mashabiki wa klabu hiyo kutogawanyika, akisisitiza kuwa Simba ni kubwa kuliko changamoto yoyote inayokabili klabu...

UDOM yang’ara Nanenane kwa ubunifu, teknolojia

Na mwandishi wetu, Gazetini CHUO Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimeendelea kuthibitisha nafasi yake kama kitovu cha utafiti, ubunifu na teknolojia nchini baada ya kuwasilisha bunifu...

Wachimbaji Namungo waomba mafunzo ya OSHA

Na mwandishi wetu, Gazetini WACHIMBAJI wadogo wa Mgodi wa Namungo wameiomba Serikali kupitia Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) kuwapatia mafunzo ya...

Rais Samia azindua tume ya uchunguzi wa ghasia za uchaguzi 2025

Na mwandishi wetu, Gazetini RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, amezindua Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Wahusika wa Ghasia...

TARURA yatajwa miongoni mwa taasisi bora za miundombinu Afrika

Na mwandishi wetu, Gazetini RAIS wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania, Wakili Boniventure Mwambaja, amesema anaiona Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA)...

WMA yawafundisha watoto vipimo, Naibu waziri apongeza

na mwandishi wetu, Gazetini NAIBU Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamad Chande, amefurahishwa na uelewa mkubwa ulioonyeshwa na wanafunzi waliopata elimu ya vipimo katika banda...

Recent articles