Ads: info@gazetini.co.tz |
26.2 C
Dar es Salaam

Author: gazetiniAdmin_1

Trinity Rodman; Mchezaji ghali zaidi soka la wanawake duniani

LONDON, Uingereza MSHAMBULIAJI wa timu ya soka ya taifa ya Marekani, Trinity Rodman, amekuwa mchezaji anayelipwa mshahara mkubwa zaidi duniani kwa upande wa soka la...

Jela miaka 10 ukijihusisha na mapenzi ya jinsia moja Senegal

DAKAR, Senegal Bunge la Kitaifa la Senegal limepitisha kwa wingi muswada unaoongeza adhabu kwa watu wanaofanya mapenzi ya jinsia moja, hatua inayotarajiwa kuimarisha sheria zilizokuwepo...

Raia wa China akamatwa JKIA akijaribu kusafirisha zaidi ya siafu 2,000

NAIROBI, Kenya       Kwa mujibu wa mamlaka za Kenya, Zhang alikamatwa wakati wa ukaguzi wa usalama uwanjani hapo baada ya maafisa kugundua shehena kubwa ya siafu...

Watanzania 236 warejea nchini kutoka Dubai kwa ndege maalum ya ATCL

Na mwandishi wetu, Gazetini WATANZANIA 236 mchana wa Machi 9, 2026 wamerejea nchini kwa ndege maalum ya Air Tanzania Company Limited baada ya kukwama mjini...

Utafiti: Changamoto wanazopitia makocha wanawake

LONDON, Uingereza KWA mujibu wa utafiti wa Taasisi ya Women in Sport kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Leeds Beckett, wanawake waliopo katika taaluma ya...

KCMC yajenga taasisi ya moyo ya pili nchini

Na Safina Sarwatt, Gazetini HOSPITALI ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini ya Kilimanjaro Christian Medical Centre (KCMC) imeanza ujenzi wa Taasisi ya Moyo itakayokuwa ya...

Salome: Wananchi Rukwa mtapata umeme wa gridi Mei 2026

Na mwandishi wetu, Gazetini NAIBU Waziri wa Nishati, Salome Makamba amesema wananchi wa Mkoa wa Rukwa wataanza kupata umeme wa gridi kuanzia mwezi mei mwaka...

TARURA yajenga barabara za lami karatu, bodaboda waonywa

Na Catherine Sungura, Tarura Hata hivyo, waendesha bodaboda wametakiwa kupunguza mwendo kufuatia kuimarika kwa barabara hizo ili kuepuka ajali zinazoweza kusababisha vifo au majeraha. Akizungumza na...

JET: Wanawake wana wajibu wa kuhifadhi mazingira

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Katika kuadhimisha kilele cha Siku ya Wanawake Duniani inayoadhimishwa Machi 8 kila mwaka, Chama cha Waandishi wa Habari za Mazingira Tanzania...

WHO: Saratani inaepukika, chukua hatua

Na mwandishi wetu, Gazetini UTAFITI mpya wa Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa (WHO) umebaini kuwa wagonjwa wapya wa saratani zaidi ya milioni saba...

Yanga yaitwanga maswali 5 Bodi ya Ligi, bao la Mwalimu latajwa

Na mwandishi wetu, Gazetini SIKU chache baada ya kutoka sare ya kutokufungana dhidi ya Simba, Yanga imeibuka na kuitwanga barua nzito Kamati ya Uendeshaji ya...

David Luiz kwa sasa anakula maisha tu

LONDON, Uingereza UNAMKUMBUKA beki wa kati wa zamani wa Chelsea na timu ya taifa ya Brazil 'Selecao', David Luiz? Kwa sasa, nyota huyo ana umri...

Recent articles

spot_img