Ads: info@gazetini.co.tz |
24.9 C
Dar es Salaam

Author: gazetiniAdmin_1

Vikosi vya Kombe la Dunia 2026: UTURUKI

ANKARA, Uturuki MATAIFA 48 ndani ya fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika kuanzia Juni 11 - Julai 19, 2026 huko Marekani, Mexico na Canada. Kuelekea michuano...

Marekani yamwekea vikwazo Rais wa Cuba, familia yake

HAVANA, Cuba SERIKALI ya Marekani imetangaza vikwazo vya kiuchumi dhidi ya Rais wa Cuba, Miguel Diaz-Canel, pamoja na familia yake. Taarifa ya vikwazo hivyo pia inaihusu...

Kocha mpya Liverpool mshahara wake bil. 35/-

MERSEYSIDE, Uingereza LIVERPOOL imemtangaza Andoni Iraola kuwa kocha wake mpya kwa ajili ya msimu ujao, akichukua nafasi iliyoachwa wazi na Arne Slot. Ripoti zinaeleza kuwa Iraola...

Temeke yaanzisha “ukanda wa kijani” Mandela, miti 500 yapandwa

Na wandishi wetu, Gazetini Mpango huo umetajwa kuwa sehemu ya mkakati wa Green Corridor Initiative unaolenga kuunganisha njia za kijani katika maeneo ya mijini ili...

Vikosi vya Kombe la Dunia 2026: HAITI

LONDON, Uingereza MATAIFA 48 ndani ya fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika kuanzia Juni 11 - Julai 19, 2026 huko Marekani, Mexico na Canada. Kuelekea michuano...

Vikosi vya Kombe la Dunia 2026: BOSNIA

SARAYEVO, Bosnia MATAIFA 48 ndani ya fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika kuanzia Juni 11 - Julai 19, 2026 huko Marekani, Mexico na Canada. Kuelekea michuano...

Vikosi vya Kombe la Dunia 2026: QATAR

DOA, Qatar MATAIFA 48 ndani ya fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika kuanzia Juni 11 - Julai 19, 2026 huko Marekani, Mexico na Canada. Kuelekea michuano...

Vikosi vya Kombe la Dunia 2026: USWIS

ZURICH, Uswis MATAIFA 48 ndani ya fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika kuanzia Juni 11 - Julai 19, 2026 huko Marekani, Mexico na Canada. Kuelekea michuano...

Vikosi vya Kombe la Dunia 2026: MOROCCO

RABAT, Morocco MATAIFA 48 ndani ya fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika kuanzia Juni 11 - Julai 19, 2026 huko Marekani, Mexico na Canada. Kuelekea michuano...

Kiongozi wa upinzani Guinea aendelea kushikiliwa

BISSAU, Guinea Bissau MAHAKAMA ya kijeshi ya Guinea Bissau imeagiza kiongozi wa siasa za upinzani nchini humo, Domingos Simoes Pereira, kuendelea kushikiliwa. Mwanasiasa huyo anayetumikia kifungo...

Rais mstaafu Colombia amjia juu Trump

BOGOTA, Colombia RAIS aliyemaliza muda wake nchini Colombia, Gustavo Petro, amemnyooshea kidole Donald Trump wa Marekani kwa hatua yake ya kumuunga mkono mgombea wa urais Abelardo...

Waandamanaji Libya wavamia, wafanya fujo ofisi za UN

TRIPOLI, Libya WANANCHI wa Libya walioingia barabarani kupinga taarifa za nchi yao kupokea wahamiaji kutoka Marekani wameingia na kufanya vurugu katika ofisi za Umoja wa...

Recent articles

spot_img