Ads: info@gazetini.co.tz |
25.2 C
Dar es Salaam

Author: gazetiniAdmin_1

Mbappe acharuka akimkingia kifua Dembele

MEXICO CITY, Mexico NAHODHA wa timu ya soka ya Taifa ya Ufaransa, Kylian Mbappe, amesema si sahihi kwa Ousmane Dembele kukosolewa kwa kiwango alichokionesha katika...

Mganga ‘aliyemkomesha’ Ronaldo ahamia kwa Harry Kane

ACCRA, Ghana MGANGA wa kienyeji raia wa Ghana ambaye alidai kumsababishia majeraha Cristiano Ronaldo wakati wa fainali za Kombe la Dunia mwaka 2014, ameibuka na...

Yamal alivyoweka rekodi akimpiku Messi

CALIFORNIA, Marekani WINGA wa kimataifa wa Hispania, Lamine Yamal, amempiku Lionel Messi katika orodha ya wachezaji wenye umri mdogo zaidi kufunga bao kwenye mechi ya...

Casemiro rasmi kucheza na Messi

MIAMI, Marekani KLABU ya Inter Miami ya Ligi Kuu ya Marekani (MLS) imethibitisha kuinasa saini ya kiungo wa kimataifa wa Brazil, Casemiro. Casemiro amejiunga na timu...

Staa wa filamu: Mwanaume masikini hawezi kukupa furaha

LAGOS, Nigeria MWIGIZAJI maarufu wa soko la filamu la Nigeria (Nollywood), Nancy Isime, amesema haoni kama anaweza kufurahia ndoa akiwa na mwanaume asiye na kipato...

Yametimia! Waziri Mkuu Uingereza abwaga manyanga

LONDON, Uingereza BAADA ya tetesi za muda mrefu, hatimaye Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, ametangaza kujiuzulu. Kwa wiki kadhaa za hivi karibuni, Starmer amekuwa kwenye...

Yanga, Azam zaacha historia ya ‘vichwa’ CCM Kirumba

Na mwandishi wetu, Gazetini INAWEZA kuumiza kichwa kukumbuka mechi ya aina hii; Yanga dhidi ya Azam, ambayo ilimalizika kwa jumla ya mabao matano na yote...

Kibarua wa viwandani aliyefunga mabao mawili kuiokoa Ujerumani

MEXICO CITY, Mexico IVORY Coast ikiwa mbele kwa bao 1-0, kocha wa timu ya soka ya Taifa ya Ujerumani, alimuinua kwenye benchi Deniz Undav aliyeingia...

Rais Trump afichua Waziri Mkuu wa Uingereza kujiuzulu

WASHINGTON DC, Marekani RAIS wa Marekani, Donald Trump, amedai kuwa Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, anajiandaa kujiuzulu. “Keir Starmer atajiuzulu katika nafasi yake ya Waziri...

Simba: Azam siyo mbaya ila tulimtaka ‘my’ wetu

Na mwandishi wetu, Gazetini BAADA ya kuitazama Azam ikiifunga Yanga na kutinga fainali ya Kombe la FA, mashabiki wa Simba wameonesha kutoridhishwa na matokeo hayo. Yanga...

Mabeberu, majirani wanavyopishana ‘kuchota utajiri’ wa DRC

Na mwandishi wetu, Gazetini WAKATI wengine wakiamini DRC imefeli katika diplomasia na ulinzi, vita vinavyoendelea nchini humo vinahusishwa pia na hila za mataifa makubwa duniani. Kwamba...

Muller aitaka United kumchukua Manzambi

MUNICH, Ujerumani LEJENDARI wa Bayern Munich, Thomas Muller, ameishauri klabu ya Manchester United kumsajili kiungo wa Freiburg, Johan Manzambi. Ushauri wa Muller umetokana na kiwango kizuri...

Recent articles

spot_img