Ads: info@gazetini.co.tz |
26.2 C
Dar es Salaam

Author: Gazetini Editor

Búlamu ya Sela Mulonda yazidi kupeta

Na Christopher Msekena, Gazetini MSANII wa muziki wa Injili anayeishi Ireland, Sela Mulonda, amewashukuru mashabiki kwa mapokezi makubwa wimbo wake mpya ya Búlamu. Sela Mulonda mwenye...

Madarasa 1,360, mabweni 17 na nyumba 33 za walimu kujengwa

Na Ramadhan Hassan, Gazetini WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imepanga kujenga madarasa 1,360 ili kuimarisha utekelezaji wa sera ya elimu ya miaka 10 ya...

Bajeti ya Elimu 2026/27 Sh trilioni 2.39, yaweka mkazo ubora na ujuzi

Na Ramadhan, Hassan, Gazetini SERIKALI kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imeiomba Bunge kuidhinisha jumla ya Sh trilioni 2.39 kwa mwaka wa fedha 2026/27...

Rekodi 3 walizoweka Arsenal wakitinga fainali UEFA

CATALUNYA, Hispania HATIMAYE Arsenal imetinga fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Ni baada ya ushindi wao wa bao 1-0 dhidi ya Atletico Madrid, mchezo uliochezwa...

Slot hafukuzwi leo wala kesho

MERSEYSIDE, Uingereza LICHA ya mashabiki wa Liverpool kutokuridhishwa na mambo yanavyokwenda msimu huu, uongozi wa timu hiyo hauna mpango wa kumfuta kazi kocha Arne Slot. Ukiwa...

Xavi, Chelsea kumbe tetesi tu

CATALUNYA, Hispania LICHA ya tetesi zilizopo, Chelsea hawana mpango wa kumpa ajira kocha wa zamani wa Barcelona raia wa Hispania, Xavi Hernandez. Awali, zilikuwepo taarifa zilizodai...

United yagoma kumwachia Hojlund

MANCHESTER, Uingereza KLABU ya Napoli imethibitisha kukwama katika mpango wake wa kumsajili kiungo wao wa mkopo kutoka Manchester United, Rasmus Hojlund. Hojlund mwenye umri wa miaka...

Rais Ruto awasili Tanzania kwa ziara ya siku mbili

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Rais wa Kenya, Dk. William Ruto amewasili nchini leo kwa ziara ya kitaifa ya siku mbili, ambapo kesho Mei 5, 2026...

Makonda aomba sh.525.32 bilioni, maandalizi AFCON yafikia pazuri

 Na Mwandishi Wetu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda ameomba sh. 525.32 bilioni kwa bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha...

Didier Drogba awa aamsha shangwe bungeni Dodoma

Na Mwandishi Wetu Shangwe​  zimetawala  katika Ukumbi wa Bunge jijini Dodoma leo Mei 4, 2026,   baada ya gwiji wa soka duniani na nahodha wa zamani...

PSG yamfungia kazi Harry Kane

LONDON, Uingereza GAZETI la Bild la Ujerumani limeripoti kuwa mabosi wa klabu ya PSG wanaweza kulitikisa soko la usajili duniani kwa kumchukua straika wa Bayern...

Parlour aishauri Arsenal kumsajili Alvarez

LONDON, Uingereza MKONGWE wa Arsenal, Ray Parlour, ameishauri klabu hiyo kuharakisha usajili wa mshambuliaji wa kati wa Atletico Madrid, Julian Alvarez. Parlour raia wa England, anaamini...

Recent articles

spot_img