Na Mwandishi Wetu
Heavenly Voice Gospel ambayo ni bendi ya muziki wa injili yenye maskani yake Marekani, imesema imeandaa nyimbo nyingi za kuwabariki mashabiki duniani...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
RAIS wa Kenya, William Ruto, anatarajiwa kuhutubia Bunge la Tanzania Mei 5, 2026, hotuba itakayofuatliwa na viongozi mbalimbali wa kitaifa.
Akisoma tangazo...
Na Mwandishi Wetu
JESHI la Polisi mkoani Lindi linamshikilia Hassan Athuman Mpogo (46), mvuvi na mkazi wa Kata ya Somanga wilayani Kilwa, kwa tuhuma za...
LONDON, Uingereza
PSG wataikaribisha Bayern Munich katika nusu fainali ya kwanza msimu huu wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, mchezo utakaochezwa kesho Aprili 28, 2026 mjini...
WASHINGTON DC, Marekani
SAKATA la mtuhumiwa wa tukio la kufyatua risasi katika halfa aliyokuwemo Rais Donald Trump limechukua sura mpya.
Mwanaume huyo mwenye umri wa miaka...
LONDON, Uingereza
MKONGWE wa Manchester United, Wayne Rooney, anaamini kurejea dimbani kwa Bukayo Saka kutaipa nguvu kubwa Arsenal katika mbio zake za ubingwa wa Ligi...
MERSEYSIDE, England
MLINDA mlango wa Liverpool, Alisson Becker, yuko kwenye hatua nzuri ya kujiunga na vigogo wa Serie A, Juventus.
Juventus wanampigia hesabu Mbrazil huyo mwenye...
Na mwandishi wetu, Gazetini
WATOTO wa mjini wakikwambia ‘utaacha ndala’, huwa wanamaanisha utakutana na kitu kizito. Je, ni mashabiki wa Yanga au Simba watakaokutwa na...
BERLIN, Ujerumani
TIMU ya soka ya wanawake ya Arsenal ndiyo mabingwa watetezi na sasa wataivaa Lyon katika hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa...
WASHINGTON DC, Marekani
KIPENZI cha Rais Donald Trump, Nicki Minaj ni miongoni mwa mastaa wa muziki watakaohudhuria halfa ya chakula cha jioni itakayofanyika kesho Aprili...
LONDON, Uingereza
BEKI wa kati wa zamani wa Chelsea, William Gallas, anaamini Diego Simeone ndiye kocha sahihi wa kupewa mikoba ya kuinoa timu hiyo.
Chelsea wanahitaji...
EDINBURGH, Scotland
SARATANI ya kizazi ni moja ya saratani nne zinazotesa wanawake duniani, ikihusishwa pia na vifo vingi kwa jinsia hiyo.
Hata hivyo, hadithi ni tofauti...