TOKYO, Japan
KABLA ya kufanyiwa marekebisho Aprili Mosi, 2026, Sheria ya Malezi nchini Japan ilimtaka mzazi mmoja pekee kumiliki mtoto/watoto pale ilipotokea ndoa au mahusiano...
MERSEYSIDE, England
LIVERPOOL wametangaza kumfuata kazi kocha wao raia wa Uholanzi, Arne Slot. Ametimuliwa leo Mei 30, 2026, zikiwa ni siku 365 tangu alipoajiriwa.
"Klabu ya...
BUDAPEST, Hungary
MATAJIRI wa Paris, PSG, wamelitetea taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya ushindi wa penalti 4-3 dhidi ya Arsenal katika mchezo wa...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
KUONDOKA Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) haikutosha kwa Mchungaji Peter Msigwa. Akahamia kwa washindani wao wakubwa katika siasa za Tanzania,...
LONDON, Uingereza
AKIWA na umri wa miaka 16, bado David Raya hakuwa akifahamika katika ulimwengu wa soka. Alikuwa kipa asiye na nafasi ya kuanza hata...
LONDON, Uingereza
WIKIENDI hii, Washika Bunduki wa London, Arsenal, na matajiri wa Paris, PSG, watavaana katika mchezo wa fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Vita hiyo...
Na mwandishi wetu, Gazetini
TIMU ya soka ya Taifa ya U-17 ya Tanzania, Serengeti Boys, itashuka dimbani wikiendi hii, Juni 2, 2026, kumenyana na Senegal...
PRETORIA, Afrika Kusini
ZIKIWA ni siku chache tu zimepita tangu kocha wa zamani wa Yanga, Cedric Kaze, afukuzwe Kaizer Chiefs, ameanza mazungumzo na Sekhukhune United...
CATALUNYA, Hispania
WINGA wa kimataifa wa England, Anthony Gordon, amejiunga na Barcelona na mshahara wake ni euro milioni saba (zaidi ya Sh bil. 21.4 za...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
TUME ya Taifa ya Mipango imeongoza mjadala wa wanazuoni na wadau mbalimbali kuhusu mustakabali wa maendeleo na kujitegemea kiuchumi kwa nchi...