Ads: info@gazetini.co.tz |
28.2 C
Dar es Salaam

Stay tuned

Subscribe to our latest newsletter and never miss the latest news!
Our newsletter is sent once a week, every Monday.

Latest news

Israel kuiteka Ngome ya Beaufort kuna maana gani kwa Hezbollah?

BEIRUT, Lebanon HIVI karibuni, vikosi vya jeshi la Israel viliitaja kuwa ni mafanikio makubwa hatua ya kuiteka Ngome ya Beaufort iliyoko Lebanon. Kwamba ni hatua kubwa...

Petroli yashuka Dar, dizeli yapanda

Na mwandishi wetu, Gazetini HATIMAYE bei ya mafuta ya petroli imeshuka wa Shilingi 29 kwa Dar es Salaam, ambapo sasa lita moja itauzwa kwa Shilingi...

Gilberto Mora: Kinda wa kihistoria Kombe la Dunia 2026

LONDON, Uingereza KUELEKEA fainali za Kombe la Dunia za mwaka huu zitakazoanza Juni 11, 2026, macho yote ni kwa kiungo wa timu ya Taifa ya...

Msigwa: Sikufuata cheo CCM, Lisu amenirudisha CHADEMA

Na Hassan Mwasha,Gazetini KADA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mchungaji Peter Msigwa, amesema kuimarika kwa Chama hicho chini ya Mwenyekiti Tundu Lisu ndiyo...

Sintofahamu mauaji ya wanasiasa wa upinzani Msumbiji

MAPUTO, Msumbiji KWA siku za hivi karibuni, yamezuka matukio ya wanasiasa wa upinzani nchini Msumbiji kuuawa kwa kupigwa risasi. Mei 9, 2026, Anselmo Vicente, ambaye ni...

Kibabage aipa mzuka Serengeti Boys kuelekea fainali ya AFCON

Na Winfrida Mtoi, Gazetini BEKI wa timu ya Taifa (Taifa Stars), Nickson Kibabage  amesema kitendo cha vijana wa timu ya Serengeti Boys kufika  fainali ya...

‘Nilitumia dawa za kulevya kuongeza nguvu za kiume, nikaishia pabaya’

Na Hassan Mwasha MAISHA ya Juma Mgota, mkazi wa Mtaa wa Muhalitan, Tandale jijini Dar es Salaam, yanaweza kuwa sehemu ndogo tu ya madhila wanayopitia...

Wanawake hatarini zaidi Ebola, maambukizi yafika Brazil

KINSHASA, DRC WATAALAMU wa Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa (WHO) wameonya kuwa wanawake ndilo kundi lililo hatarini zaidi kupata maambukizi ya virusi vya...

Arteta kulamba mkataba mpya Arsenal

LONDON, Uingereza MABOSI wa Arsenal wanataka kumpa mkataba mpya kocha wao raia wa Hispania, Mikel Arteta, kabla ya timu hiyo kuanza kambi ya 'pre-season'. Haraka hiyo...

Sura mpya siasa za Madagascar baada ya maandamano ya Gen-Z

Na mwandishi wetu, Gazetini MWISHONI mwa mwaka 2025, Madagascar ilitikiswa na maandamano makubwa ya vijana wa Gen-Z walioingia barabarani wakipinga hali mbaya ya kiuchumi, wakati...

Ndugu, ‘washikaji’ wanavyomfelisha Waziri Mkuu Hispania

MADRID, Hispania WAZIRI Mkuu wa Hispania, Pedro Sanchez, ametimiza miaka nane tangu alipoingia madarakani, huku skendo za rushwa zikichukua nafasi kubwa katika uongozi wake kwa...

Luis Enrique alivyotimiza ndoto ya matajiri wa Qatar

PARIS, Ufaransa MWAKA 2011, matajiri wa kampuni ya Qatar Sports Investments ya Qatar walikuwa mezani na mabosi wa klabu ya kawaida tu, PSG. Matajiri wa...