VILLARREAL, HispaniaBAADA ya kuingia kambani mara moja katika ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Villarreal, Erling Haaland ameifikia rekodi ya Cristiano Ronaldo.Haaland amezifumania nyavu...
Na Winfrida Mtoi
Ushindi wa mabao 3-0 ugenini dhidi ya Nsingizini Hotspurs katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, klabu ya Simba imetamba kuwa ni kati ya...
Na Imani Nathanieli
Katika kuadhimisha miaka tisa, Kampuni ya Mawasiliano ya Halotel kupitia huduma ya kifedha ya Halopesa, imetoa msaada wa viti mjongeo 15 kwa...
Na Hassan Mwasha, GazetiniKAMA ulidhani binadamu ndiye kiumbe pekee kinachotumia kilevi aina ya pombe hapa duniani kwa ajili ya starehe au kupoteza mawazo, basi...
Na Mwandishi Wetu, Mwanza
Kamati ya Amani ya Mkoa wa Mwanza kwa kushirikiana na viongozi wa dini, imesema kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29,...
Na mwandishi wetu, GazetiniMBALI ya kulaani tukio la jeshi kupindua Serikali, Umoja wa Afrika (AU) umesitisha kwa muda uanachama wa Madagascar, huku hatua hiyo...
MADRID, HispaniaMECHI za Ligi Kuu ya La Liga zimeendelea kushuhudia wachezaji wakisimama bila kucheza mpira kwa sekunde 15 za mwanzo.Kitendo hicho kinatumika kama ujumbe...
Na Hassan Mwasha, GazetiniKAMPENI zimeshika kasi. Ni siku chache tu zimebaki kuelekea Oktoba 29, siku ambayo Watanzania watatumia haki yao ya Kikatiba kupiga kura...
WASHINGTON DC, MarekaniSERIKALI ya Marekani chini ya Rais Donald Trump imetangaza kusitisha misaada yake kwa Colombia, ikidai Taifa hilo halina nia ya kutokomeza uzalishaji...
TEL AVIV, IsraelVURUGUGU kubwa za mashabiki wa Hapoel Tel Aviv na Maccabi Tel Aviv wameshambuliana na kusababisha mchezo kati ya timu hizo zenye upinzani...
MERSEYSIDE, UingerezaBAO la mpira wa kichwa katika dakika ya 84 lililofungwa na Harry Maguire limeifanya Manchester United kupata ushindi wake wa kwanza katika mechi...
Na Hassan Mwasha, GazetiniKOCHA wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', Hemed Suleiman, amesema pointi nne zinatosha kukivusha kikosi hicho hatua...