Ads: info@gazetini.co.tz |
26.5 C
Dar es Salaam

Stay tuned

Subscribe to our latest newsletter and never miss the latest news!
Our newsletter is sent once a week, every Monday.

Latest news

Ni zamu ya Kane kubeba Ballon d’Or?

LONDON, UingerezaMWANZONI mwa mwaka huu, Harry Kane alitimiza ndoto yake ya miaka mingi; kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu. Ni baada ya miaka 15 ya...

Polisi Dar yaonya vurugu wakati wa uchaguzi

Na Mwandishi Wetu, Gazetini IKIWA zimesalia siku chache kabla ya Tanzania kufanya uchaguzi mkuu, Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro,...

OSHA yahimiza viongozi wa wafanyakazi kulinda afya na usalama kazini

Na Mwandishi Wetu, Gazetini VIONGOZI wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya (TUGHE) wa Mkoa wa Dar es Salaam wapatao 180 wamepatiwa mafunzo ya...

Wasiojulikana choma moto nyumba ya Polisi Songwe

Na Mwandishi Wetu, Gazetini WATU wasiojulikana wamechoma moto nyumba ya Polisi iliyopo Kata ya Chitete, Kijiji cha Ikumbilo, Wilaya ya Ileje mkoani Songwe, na kuteketeza...

Zimbabwe yatimua kocha kisa Kombe la Dunia

HARARE, ZimbabweMATOKEO mabaya katika mechi za kufuzu fainali zijazo za Kombe la Dunia yamesababisha kocha wa timu ya taifa ya Zimbabwe 'Warriors', Michael Nees,...

SGR yapata ajali, TRC yataja chanzo

Na Mwandishi Wetu Treni ya Mwendokasi (SGR) imeacha njia yake na kupata ajali katika eneo la Ruvu Mkoani Pwani asubuhi ya leo Oktoba 23,2025 wakati...

Osimhen afunga mbili, aandika historia Galatasaray

ISTANBUL, UturukiSTRAIKA wa kimataifa wa Nigeria, Victor Osimhen, jana alifunga mara mbili na kutoa 'asisti' katika ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Bodo/Glimt.Ni kwa...

Mahakama yagoma kufuta Uchaguzi Cameroon, rais kutangazwa Jumatatu

YOUNDE, CameroonMAHAKAMA Kuu nchini Cameroon imesisitiza kuwa haina mpango wa kufuta Uchaguzi Mkuu, na badala yake itatangaza matokeo ifikapo Jumatatu ya wiki ijayo.Kwa sasa,...

Zulfa Macho atinga fainali ngumi Zone 3 Afrika

Na Mwandishi Wetu Bondia Mtanzania Zulfa Macho amemchapa kwa pointi Bisambu Deborah wa DR Congo katika pambano la nusu fainali ya mashindano ya ngumi ya...

Simba kuwania tuzo ya Klabu Bora Afrika, Kapombe mchezaji bora

Na Mwandishi Wetu Klabu ya Simba imeteuliwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF), kuwania tuzo ya Klabu Bora Afrika (Club of the Year) kwa mwaka...

Gereza analoishi Rais wa Ufaransa

Na mwandishi wetu, GazeniBAADA ya kukutwa na hatia katika mashitaka ya rushwa, Rais wa zamni wa Ufaransa, Nicolas Sarkozy, alihukumiwa kifungo cha miaka mitano...

Haaland aifikia rekodi ya Ronaldo

VILLARREAL, HispaniaBAADA ya kuingia kambani mara moja katika ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Villarreal, Erling Haaland ameifikia rekodi ya Cristiano Ronaldo.Haaland amezifumania nyavu...