Na Mwandishi Wetu
Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, ametangaza kujiuzulu nafasi yake ya Ubalozi na nafasi nyingine za uongozi wa Umma kuanzia...
LISBON, UrenoKITENDO cha Viktor Gyokeres kushindwa kuungana na wenzake mazoezini akishinikiza kujiunga na Arsenal, kimewatibua mabosi wa klabu yake ya Sporting Lisbon.Taarifa zinaeleza kuwa...
MIAMI, MarekaniMSHAMBULIAJI wa Inter Miami, Lionel Messi, ameendeleza makali yake ya kufunga mabao mawili katika kila mchezo, safari hii akiwatungua Nashville.Messi anakuwa mchezaji wa...
NAIROBI, KenyaUPEPO unavuma vibaya kwa William Ruto, huku sehemu kubwa ya wakosoaji wake wakiwa ni vijana wa kizazi kipya, wakifahamika pia kwa jina la...
LONDON, EnglandMATUKIO ya utoaji wa mimba yameripotiwa kuongezeka kwa kasi nchini Uingereza, huku kupanda kwa gharama za maisha kukitajwa kuwa moja ya sababu.Utoaji wa...
LONDON, EnglandUMEWAHI kujiuliza huwa unatumia muda gani kumaliza haja ndogo unapoingia maliwato? Sasa, swali hilo lina maana kubwa mno kwa afya yako.Kwa mujibu wa...
WASHINGTON DC, Marekani
JUMATANO ya wiki hii, Rais wa Marekani, Donald Trump, alifungua Mkutano wa siku tatu na viongozi wa nchi tano za Afrika mjini...
AMSTERDAM, Uholanzi
KOCHA mkongwe, Louis van Gaal, amesema amepona ugonjwa wa saratani na sasa yuko fiti kurejea katika majukumu yake.
Miaka mitatu iliyopita, Mholanzi huyo mwenye...
LONDON, England
HARAKATI za usajili wa majira ya kiangazi zinaendelea barani Ulaya, huku macho yakielekezwa zaidi kwa klabu za England, Bundesliga, La Liga, Ligue 1...
LONDON, England
MWANAJESHI pekee wa Uingereza aliyekuwa hai tangu alipopigana Vita ya Pili ya Dunia, Donald Rose, amefariki jana akiwa na umri wa miaka 110.
Rose...