Na Mwandishi Wetu
TIMU ya Coastal Union imetembeza kichapo cha mabao 4-1 kwa maafande wa Magereza Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara...
Na Winfrida Mtoi, Gazetini
KOCHA Mkuu wa timu ya Simba, Steve Barker ameweka wazi kuwa hakuna mechi rahisi ya Ligi Kuu, lakini wamejipanga kuhakikisha wanachukua...
LONDON, Uingereza
MCHEZO wa soka una historia kubwa ya kuwainua na kuwapa utajiri wachezaji wanaotoka katika familia za kimasikini.
Miongoni mwao ni mkongwe wa soka la...
LONDON, Uingereza
MAUZO ya jezi ni sehemu muhimu ya vyanzo vya mapato ya klabu za soka duniani kote, zikivuna mabilioni ya fedha kutokana na biashara...
LOS ANGELES, Marekani
KAMPUNI maarufu ya Animorph Co-operative imemtambulisha mawani ya kisasa, ambayo yatawasaidia wanaokabiliwa na ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu (dementia).
Hata hivyo, Szczepan Orlins, ambaye...
Na Winfrida Mtoi, Gazetini
WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema kuwa muda wowote, kocha Miguel Gamondi atasaini rasmi mkataba wa kuifundisha...
LAGOS, Nigeria
KIONGOZI wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Leo XIV, ametuma ujumbe wake wa kutaka kuimarishwa kwa hali ya amani nchini Nigeria.
Papa Leo ameyasema hayo...
PRETORIA, Afrika Kusini
SERIKALI ya Afrika Kusini imetangaza kuwarudisha nyumbani wanajeshi wake waliokuwa kwenye operesheni ya kulinda amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).
Ikumbukwe,...
CARACAS, Venezuela
MWANASIASA wa upinzani na mkosoaji mkubwa wa utawala wa Nicolas Maduro, Juan Pablo Guanipa, ameachiwa huru baada ya kushikiliwa na vyombo vya dola...
HONG KONG, China
MFANYABIASHARA tajiri mjini Hong Kong, Jimmy Lai, amehukumiwa kifungo cha miaka 20 gerezani baada ya Mahakama kumkuta na hatia.
Awali, lilikuwepo tishio la...
MILAN, Italia
IMERIPOTIWA kuwa watu sita wako kwenye mikono ya polisi katika maandamano ya kupinga michuano ya Olimpiki mjini Milan.
Milan ni moja ya miji sita...