ROMA, Italia
BAADA ya msimu mmoja wa kuinoa Al-Nassr, kocha raia wa Italia, Stefano Pioli, ameondoka klabuni hapo.Pioli mwenye umri wa miaka 59, amerejea nyumbani,...
Na Mwandishi Wetu
Kampuni ya Halotel kupitia huduma ya HaloPesa ikishirikiana na timu ya Halotel Business Zanzibar, wamefanya mafunzo ya utafiti wa masoko na kutoa...
LONDON, England
WAKALI wa London, Brentford, wako mbioni kukamilisha usajili wa kiungo wa zamani wa Liverpool, Jordan Henderson.
Henderson mwenye umri wa miaka 35, ni mchezaji...
DUBAI, UAEMAHAKAMA ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita (ICC) imelaani kinachoendelea mjini Darfur, Sudan, ikieleza kuwa kumekuwa na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu.Tangu...
NAIROBI, KenyaWAKATI maandamano ya raia wanaoipinga Serikali yakiendelea, Rais wa Kenya, William Ruto, ameagiza waandamanaji wapigwe risasi za miguu.Agizo hilo linakuja wakati huu jumuhiya...
KYIV, UkraineWATU wawili wameripotiwa kufariki katika shambulizi la Urusi mjini Kyiv, Ukraine.Ndege isiyo na rubani iliishambulia Kyiv, ikielezwa pia watu 13 wamejeruhiwa katika tukio...
MANCHESTER, EnglandKLABU ya Manchester United imeingia mazima katika mbio za kumsajili kiungo wa Real Madrid, Aurelien Tchouameni.Kwa taarifa zilizopo, Man United imeshatenga dau nono...
LONDON, EnglandMATAJIRI wa Al Hilal ya Saudi Arabia nao wamejitosa kuiwania saini ya mshambuliaji wa RB Leipzig, Benjamin Sesko.Aidha, hiyo inaweza kuwa habari mbaya...
Na Mwandishi Wetu
Klabu ya Fountain Gate imefanikiwa kusalia kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara kwa msimu ujao baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya...