24.5 C
Dar es Salaam

Stay tuned

Subscribe to our latest newsletter and never miss the latest news!
Our newsletter is sent once a week, every Monday.

Latest news

Nini kujadiliwa Mkutano wa Trump, Putin?

LOS ANGELES, MarekaniRAIS wa Marekani, Donald Trump, atakutana na mwenzake wa Urusi, Vladimir Putin, mwishoni mwa wiki hii. Mkutano huo utafanyika Ijumaa ya Agosti...

Sesko: Mtambo wa mabao uliotua Old Trafford

MANCHESTER, UingerezaBAADA ya tetesi za muda mrefu, Manchester United imevunja kibubu na kuchomoa kitita cha Pauni milioni 74 kumsajili mpachikaji mabao wa kimataifa wa...

Busungu achukua fomu kuwania urais

Na Mwandishi Wetu Mwenyekiti wa Tume Huru yaTaifa ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele, amemkakabidhi Georges Busungu. mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa...

‘Met You’ ya Director P yapenya Afrika

Na Mwandishi Wetu Mwimbaji na mwandaaji wa filamu mwenye asili ya Zambia na DR Congo anayeishi nchini Canada, Director P, amesema nyimbo yake mpya...

Chart| Sababu kuu zinazowafanya watu kutumia Intaneti

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Takwimu kutoka Global Web Index (GWI) zinaonyesha kuwa miongoni mwa watumiaji wa intaneti duniani wenye umri wa miaka 16 na kuendelea,...

Staa mpya Liverpool abeba tuzo Ujerumani

MUNICH, UjerumaniMSHAMBULIAJI mpya wa Liverpool, Florian Wirtz, ametwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka wa Ujerumani.Wirtz aliyetua Anfield kwa ada ya Pauni milioni 116,...

Watetezi wa haki za watoto wapewa mafunzo ya kuimarisha ushiriki kimataifa

Na Nora Damian, Gazetini Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umeendesha mafunzo maalum kwa Watetezi wa Haki za Watoto, yakilenga kuwaongezea ujuzi...

Waziri Mkuu jela miaka 20

N'DJAMEA, ChadALIYEWAHI kuwa Waziri Mkuu wa Chad, Succes Masra, amehukumiwa kifungo cha miaka 20 gerezani akishutumiwa kwa kuchochea ubaguzi wa rangi dhidi ya raia...

UN yaionya Israel kuhusu Gaza

LOS ANGELES, MarekaniBARAZA la Usalama la Umoja wa Mataifa (UN) limeitaka Israel kuacha mara moja mpango wake wa mpya wa 'kuuteka' Mji wa Gaza.Kauli...

Ajali yaua waliotoka msibani

NAIROBI, Kenya WATU 25 waliokuwa wakirejea kutoka msibani wamefariki baada ya basi walilokuwa wamepanda kupata ajali huko Magharibi mwa Kenya. Kwa mujibu wa taarifa ya...

Bondia afariki baada ya kupigwa ‘KO’

TOKYO, JapanBONDIA raia wa Japan, Hiromasa Urakawa, amepoteza maisha ikiwa ni wiki moja tu tangu alipopoteza pambano lake kwa 'KO' mbele ya Yoji Saito.Pambano...

Rasheedat Ajibade: Staa Nigeria anayeitoa udenda PSG

PARIS, UfaransaKWA misimu minne mfululizo, Rasheedat Ajibade amekuwa mchezaji muhimu katika safu ya ushambuliaji ya Atletico Madrid na sasa PSG wanajaribu kuinasa saini ya...