Ads: info@gazetini.co.tz |
32.2 C
Dar es Salaam

Europe

Kane agombewa Barcelona, Tottenham

MUNICH, Ujerumani KLABU mbili za Barcelona na Tottenham zimeingia kwenye vita ya kuiwania saini ya mpachikaji mabao hatari wa Bayern Munich, Harry Kane. Kane (33), anatarajiwa...

Infantino anachota mshahara wa bil. 12/-

NYON, Uswis HIVI karibuni, kiongozi huyo wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) alikuwa Colombia kuhudhuria hafla ya kuapishwa kwa Rais mpya wa Taifa hilo...

Mata Hari: Dansa aliyenyongwa kisa ukachero, njaa ya pesa ilimponza

Na mwandishi wetu, Gazetini ALIZALIWA Agosti 7, 1876 mjini Leeuwarden, Uholanzi. Akitokea katika familia tajiri, Mata Hari akiwa mdogo aliweza kupata kila alichokitaka kutoka kwa...

Papa Leo alia na amani Sudan

VATICAN CITY, Vatican KIONGOZI wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Leo XIV, amehimiza kupatikana kwa amani nchini Sudan katika hotuba yake ya jana Agosti 9, 2026,...

Shambulizi la Ukraine laua Warusi 13

MOSCOW, Urusi SHAMBULIZI la ndege isiyo na rubani linalotajwa kufanywa na Ukraine nchini Urusi limesababisha vifo vya watu 13, akiwamo mtoto. Kwa mujibu wa taarifa zilizothibitishwa...

Iheanacho aanza na bao Uturuki

ANKARA, Uturuki NYOTA wa kimataifa wa Nigeria, Kelechi Iheanacho, amefunga bao katika mechi yake ya kwanza akiwa na Bursaspor ya Ligi Kuu nchini Uturuki. Katika mchezo...

Arsenal yasaka mrithi wa Vinicius Jr

LONDON, Uingereza ARSENAL imeangukia pua katika mbio zake za kuiwania saini ya Vinicius Jr baada ya Mbrazil huyo kusaini mkataba mpya wa miaka sita katika...

Mourinho kurejesha makali ya Alexander-Arnold?

MADRID, Hispania MIEZI 14 iliyopita, Trent Alexander-Arnold aliondoka Liverpool akiwa mmoja ya walinzi wa kulia wenye viwango bora Ligi Kuu ya England (EPL) na Ulaya...

Sifa za ‘mashine’ mpya ya Arsenal

LONDON, Uingereza MABINGWA wa Ligi Kuu ya England (EPL) msimu wa 2025-26, Arsenal, wameimarisha safu yao ya kiungo kwa kumsajili Bruno Guimaraes kutoka Newcastle United,...

PSG yatabiriwa ‘ndoo’ Ligi ya Mabingwa

PARIS, Ufaransa MTANDAO wa takwimu wa Polymarket SuperComputer umeipa PSG nafasi kubwa ya kutetea ubingwa wao wa Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao wa 2026-27. Kwa...

Maresca kuchagua nahodha mpya Man City

MANCHESTER, Uingereza KOCHA wa Manchester City, Enzo Maresca, yuko mbioni kutangaza nahodha mpya wa kikosi hicho kwa ajili ya msimu ujao wa 2026-27. Man City inahitaji...

Jembe jipya Arsenal lachimba mkwara

LONDON, Uingereza KIUNGO wa kimataifa wa Brazil, Bruno Guimaraes, amesema amewaahidi mashabiki wa Arsenal kuwa ataendeleza moto aliokuwa nao Newcastle United. Arsenal walikamilisha usajili wake wikiendi...

Recent articles