Ads: info@gazetini.co.tz |
30.2 C
Dar es Salaam

Europe

Mendy, Asencio wako sokoni Madrid

MADRID, Hispania VIGOGO wa Ligi Kuu ya Hispania (La Liga), Real Madrid, wako mbioni kuwapiga bei mastaa wao wawili, Ferland Mendy na Raul Asencio. Madrid wamepoteza...

Osimhen asukiwa mkakati Arsenal

LONDON, Uingereza ZIPO taarifa zinazodai kuwa Victor Osimhen wa Galatasaray ni miongoni mwa mastraika walio kwenye orodha ya kocha wa Arsenal, Mikel Arteta. Gazeti la UK...

Gullit: Rashford atatesa sana msimu ujao EPL

LONDON, Uingereza KIUNGO wa zamani wa Chelsea, Ruud Gullit, amemtabiria makubwa Marcus Rashford akisema straika huyo atafanya makubwa msimu ujao (2026-27) wa Ligi Kuu ya...

Zidane amvuta Barthez, apewa ajira Ufaransa

PARIS, Ufaransa MLINDA mlango wa zamani wa timu ya soka ya Taifa ya Ufaransa, Fabien Barthez, ameajiriwa kuwa sehemu ya wasaidizi wa kocha mkuu wa...

PSG yazoa bil. 15/- kuifunga Villa

LONDON, Uingereza KWA mujibu wa Gazeti la Daily Mirror, PSG ya kocha Luis Enrique imejiondokea na kitita cha Pauni milioni 4.3 (Zaidi ya Sh bil....

Ligi Kuu ya Uturuki msimu ujao ni balaa zito

INSTANBUL, Uturuki KAMA hujawahi kufuatilia Ligi Kuu ya Uturuki, basi hebu jaribu kufanya hivyo msimu ujao (2026-27) kwani kuna uhondo wa 'kufa mtu' kutokana na...

Rekodi iliyoshindikana ulimwengu wa riadha

LONDON, Uingereza KWA miaka 43 sasa, rekodi ya dunia ya mbio ndefu za mita 800 kwa wanawake haijawahi kuvunjwa. Bado inashikiliwa na mwanariadha raia wa...

Ronaldo afunga ndoa na Georgina

LISBON, Ureno BAADA ya miaka 10 ya uchumba, hatimaye staa wa soka, Cristiano Ronaldo amefunga ndoa na mpenzi wake, Georgina Rodriguez. Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa...

Kifo cha baba kumstaafisha Messi?

MIAMI, Marekani  SUPASTAA wa soka, Lionel Messi, amesema kifo cha baba yake, Jorge, kinamfanya asijione akiendelea kucheza kwa muda mrefu. Jorge alifariki wiki iliyopita akiwa na...

Chelsea yanasa mwingine, yafikisha saba 

LONDON, Uingereza  KLABU ya Chelsea imemtambulisha beki wa pembeni kutoka Rayo Vallecano ya Hispania, Pep Chavarria. Nyota huyo mwenye umri wa miaka 28 anakuwa mchezaji wa saba kusajiliwa na...

Ronald Araujo: Beki wa kadi nyekundu aliyetua Liver akitokea La Liga

MERSEYSIDE, Uingereza NYOTA huyo wa eneo la ulinzi ameondoka Barcelona na kujiunga na Liverpool majira haya ya kiangazi. Alikuwa nahodha wakati Wacatalunya hao wakitwaa ubingwa...

Madrid wao ni Zubimendi tu

LONDON, Uingereza KLABU ya Real Madrid haijaachana na mpango wake wa kumsajili kiungo wa Arsenal na timu ya soka ya Taifa ya Hispania, Martin Zubimendi. Licha...

Recent articles