CARDIFF, Wales
WALES imekuwa nchi ya kwanza kutangaza kutokumuunga mkono Rais wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), Gianni Infantino, katika mpango wake wa kuwania...
CHICAGO, Marekani
LIVERPOOL chini ya kocha mpya, Andoni Iraola, imetandikwa mabao 4-2 na Leeds United katika mchezo wao wa mwisho wa maandalizi ya msimu ujao...
MANCHESTER, Uingereza
MSHAMBULIAJI wa Manchester City, Antoine Semenyo, amesifia aina ya uchezaji wa timu hiyo chini ya kocha mpya raia wa Italia, Enzo Maresca.
Semenyo ametoa...
MANCHESTER, Uingereza
PIGO zito! Kocha wa timu ya soka ya wanawake ya klabu ya Manchester United, Marc Skinner, amejiuzulu, zikiwa zimebaki wiki chache kabla ya...
NYON, Uswis
HATIMAYE Rais wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), Gianni Infantino, ametangaza kuachana na mpango wake wa kuuza hisa za Kombe la Dunia...
LONDON, Uingereza
HUENDA kocha wa Newcastle United, Eddie Howe, akaachia ngazi katika benchi la ufundi la timu hiyo, kwa mujibu wa mwandishi wa habari maarufu,...
LONDON, Uingereza
KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta, amewaahidi makubwa mashabiki wa timu hiyo, akisema watarajie tena ubingwa wa Ligi Kuu ya England (EPL).
Arsenal walimaliza msimu...
MADRID, Hispania
BAADA ya miezi mingi ya tetesi, ni rasmi sasa Yan Diomande amejiunga na Real Madrid akitokea RB Leipzig ya Ligi Kuu nchini Ujerumani...
LONDON, Uingereza
KAMA ilivyo kawaida, katika kila msimu mpya wa Ligi Kuu ya England (EPL), huwa kuna timu tatu zilizopanda daraja. Safari hii (2026-27), ni...
LONDON, Uingereza
MSIMU mpya wa Ligi Kuu ya England (EPL) utaanza Agosti 21, 2026, ukitarajiwa kumalizika Mei 30, 2027. Ni msimu wa 35 tangu michuano...
LONDON, Uingereza
KATIKA fainali za Kombe la Dunia za mwaka huu (2026) zilizomalizika hivi karibuni, Ferran Torres ndiye aliyefunga bao pekee lililoipa ubingwa timu ya...
MILAN, Italia
ROBERTO Mancini ameajiriwa na kuikuta timu ya soka ya Taifa ya Italia ikiwa kwenye hali mbaya. Haijafuzu Kombe la Dunia kwa misimu yote...