Ads: info@gazetini.co.tz |
25.2 C
Dar es Salaam

Uchumi

Ofisi ya Makamu wa Rais, DMI waandaa kongamano uchumi wa buluu

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Ofisi ya Makamu wa Rais kwa kushirikiana na Chuo cha Bahari cha Dar es Salaam (DMI) imeandaa kongamano la kitaifa la...

Rais Mwinyi aipongeza GF kuibuka mshindi wa jumla Sabasaba

Na Mwandishi Wetu Kampuni ya Gf Trucks & Equipment imeibuka mshindi wa jumla katika Maonesho ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba 2025 , kupitia kiwanda chake...

Tembocard ni Shwaa yampa gari Rahabu

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Benki ya CRDB imesema kampeni ya kuhamasisha matumizi ya kidigitali katika kufanya miamala kupitia kadi ya Tembocard imekuwa na mafanikio makubwa. Kampeni...

Makamu wa Rais atoa wito uboreshaji  mfumo wa fedha

Na Mwandishi Wetu Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango ametoa wito wa kufanyika maboresho ya mfumo wa fedha na ufadhili wa maendeleo duniani ili kutoa...

Visual| Sekta ya Madini ilivyovuka lengo la Trilioni 1 kabla ya wakati

Na Mwandishi Wetu, Gazetini-Dodoma Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Mhandisi Yahya Samamba, amesema kuwa hadi kufikia Juni 28, 2025 — zikiwa zimebaki siku chache...

Dk. Biteko ataka  Afrika kupewa uhuru wa kuzalisha nishati kwa kutumia rasilimali zilizopo

Na Mwandishi Maalum Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati,  Dk. Doto Biteko ametoa wito kwa nchi za Afrika kupewa uhuru wa kuzalisha nishati kwa...

RC Mtambi aipongeza Halmashauri ya Serengeti kwa Hati inayoridhisha ya CAG

Na Malima Lubasha, Gazetini – Serengeti Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Mtambi, ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti kwa kupata hati inayoridhisha katika...

NIC yajivunia dhamana ya bilioni 292, RC Mtanda aipa mtihani

Na Mwandishi wetu, Mwanza Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Bima la Taifa (NIC), Justine Mwandu amesema kwa sasa shirika lina mtaji mkubwa...

Majaliwa: Serikali itaendeleza mikakati ya kuwaunganisha wafanyabiashara

Na Mwandishi Wetu Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali itaendelea na mikakati ya kuwaunganisha wafanyabiashara wa Tanzania na wa Mataifa mbalimbali duniani ikiwamo Japan...

Wizara ya Ulinzi kuanza kufufua viwanda kwa ushirikiano na sekta binafsi

Na Ramadhan Hassan, Gazetini-Dodoma Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) imesema inaweka mkazo kwenye ushirikiano na sekta binafsi katika kufufua viwanda vya...

Msajili Hazina: Ni wakati wa Tanzania kunadi fursa za uwekezaji kimataifa

Na Mwandishi Wetu,Ivory Coast KATIKA jukwaa kubwa la viongozi wa taasisi za kibiashara barani Afrika, maarufu kama Africa CEO Forum, Tanzania imeendelea kujidhihirisha kama taifa...

Kampuni 95 za uchimbaji madini zapewa siku 30 kujieleza, hatarini kufungiwa  

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Serikali  imetoa Hati za Makosa kwa Kampuni 95 za Uchimbaji Mkubwa na  Kati wa Madini kutokana na wamiliki wa leseni hizo...

Recent articles