BOSTON, Marekani
TIMU ya soka ya Taifa ya Hispania imeifuata Ufaransa katika hatua inayofuata ya nusu fainali ya msimu huu wa Kombe la Dunia.
Hispania wamevuka...
BOSTON, Marekani
KATIKA mchezo wa robo fainali uliozikutanisha Ufaransa na Morocco, Facundo Tello raia wa Argentina ndiye aliyekuwa mwamuzi wa kati.
Sasa, weka kando 'ishu' ya...
MIAMI, Marekani
WAKATI huu fainali za Kombe la Dunia zikiendelea, baadhi ya wanasoka wenye majina makubwa wametangaza kustaafu muda mfupi tu baada ya timu zao...
LONDON, Uingereza
NI rasmi sasa timu ya soka ya Taifa ya England itavaana na Norway katika hatua inayofuata ya robo fainali.
Ni michuano ya Kombe la...
MIAMI, Marekani
NEYMAR ametangaza rasmi kustaafu kuitumikia timu ya soka ya Taifa ya Brazil, uamuzi uliokuja baada ya kikosi hicho kutolewa kwenye fainali za Kombe...
MIAMI, Marekani
FAINALI za Kombe la Dunia za mwaka huu (2026) zimeandaliwa na nchi tatu; Marekani, Mexico na Canada.
Tangu michuano hiyo ianze mwaka 1930, nchi...
MIAMI, Marekani
AKITOKEA benchi, aliukuta mchezo ukiwa sare ya bao 1-1, kisha akafunga na kuiwezesha timu ya soka ya Taifa ya Ureno kupata ushindi wa...
MIAMI, Ujerumani
NUKSI ya timu ya soka ya Taifa ya Ujerumani katika fainali za Kombe la Dunia imeendelea. Safari hii, waliishia hatua ya 32 Bora.
Ni...