Ads: info@gazetini.co.tz |
30.2 C
Dar es Salaam

Michezo

Pioli atimka Saudia, arudi Italia

ROMA, Italia BAADA ya msimu mmoja wa kuinoa Al-Nassr, kocha raia wa Italia, Stefano Pioli, ameondoka klabuni hapo.Pioli mwenye umri wa miaka 59, amerejea nyumbani,...

Henderson njiani kurudi England

LONDON, England WAKALI wa London, Brentford, wako mbioni kukamilisha usajili wa kiungo wa zamani wa Liverpool, Jordan Henderson. Henderson mwenye umri wa miaka 35, ni mchezaji...

PSG v CHELSEA; Fainali ya historia Kombe la Dunia

NEW JERSEY, Marekani JUMAPILI ya wiki hii, PSG watashuka dimbani kumenyana na Chelsea katika fainali ya kukata na shoka ya Kombe la Dunia kwa ngazi...

Man United macho kwa Tchouameni

MANCHESTER, EnglandKLABU ya Manchester United imeingia mazima katika mbio za kumsajili kiungo wa Real Madrid, Aurelien Tchouameni.Kwa taarifa zilizopo, Man United imeshatenga dau nono...

Waarabu waivamia Arsenal kwa Sesko

LONDON, EnglandMATAJIRI wa Al Hilal ya Saudi Arabia nao wamejitosa kuiwania saini ya mshambuliaji wa RB Leipzig, Benjamin Sesko.Aidha, hiyo inaweza kuwa habari mbaya...

Aishi Manula rasmi arejea Azam

Klabu ya Azam imemrejesha golikipa wao wa zamani, Aishi Manula akitokea Simba na kumpa mkataba wa miaka mitatu. Manula ambaye pia ni kipa wa timu...

Fountain Gate FC yabaki Ligi Kuu

Na Mwandishi Wetu Klabu ya Fountain Gate  imefanikiwa kusalia kwenye Ligi Kuu  Tanzania Bara kwa msimu ujao baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya...

Tyson wa Bongo afunga mtaa, apiga mkwara

Na Mwandishi Wetu Bondia wa ngumi za kulipwa Hassan Ndonga maarufu Tyson wa Bongo amefunga  Mtaa wa Banda Mabibo, Dar es Salaam kutokana na wingi wa mashabiki waliojitokeza...

Mastaa wa kuchungwa WAFCON 2025

BERKANE, MoroccoFAINALI za Mataifa Afrika kwa soka la Wanawake zilianza kutimua vumbi Julai 5, mwaka huu, zikifanyika kwa msimu wa pili mfululizo nchini Morocco.Je,...

Twiga Stars yaanza vibaya WAFCON

BERKANE, MoroccoTIMU ya soka ya Wanawake ya Tanzania (Twiga Stars) imepoteza kwa kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Mali katika mchezo wa fainali za...

Modric, Milan dili limeiva

MILAN, ItaliaKOCHA wa AC Milan, Massimiliano Allegri, amefichua kuwa kiungo aliyeaga Real Madrid, Luka Modric, atajiunga na klabu hiyo ya Italia.Kwa mujibu wa Allegri,...

Szczesny asaini miwili Barcelona

CATALUNYA, HispaniaBARCELONA wamempa mkataba mpya wa miaka miwili mlinda mlango wake raia wa Poland, Wojciech Szczesny.Szczesny (35), alistaafu soka mwaka jana, kabla ya Barca...

Recent articles