Ads: info@gazetini.co.tz |
22.5 C
Dar es Salaam

Makala

Kwa nini Trump anakitaka Kisiwa cha Greenland?

Na mwandishi wetu, Gazetini RAIS Donald Trump ameweka wazi kuwa Marekani inakihitaji kwa namna yoyote ile kukiweka chini ya himaya yake Kisiwa cha Greenland. Kauli hiyo...

Mambo 10 usiyoyajua kuhusu kocha mpya Chelsea

LONDON, Uingereza UONGOZI wa Chelsea umemtangaza kocha mpya atakayechukua nafasi ya Enzo Maresca. Anaitwa Liam Rosenior. Je, ni yapi usiyoyajua kuhusu kocha huyo mwenye umri wa...

Viatu vya Ferguson havivaliki Man United

MANCHESTER, Uingereza HATIMAYE Manchester United wamemfuta kazi Ruben Amorim. Mreno huyo ameondoka akiwa amehudumu kwenye benchi la ufundi kwa miezi 14 pekee tangu alipoajiriwa akitokea...

Fahamu haya kabla ya kuanza masomo mtandaoni

Na mwandishi wetu, Gazetini KWA miaka zaidi ya 20, mfumo wa vyuo vikuu na vile vya kati kuendesha baadhi ya kozi kupitia mtandao (e-learning), hasa...

Nani kuvaa viatu vya Guardiola akiondoka City?

MANCHESTER, Uingereza WIKI iliyopita, kocha wa Manchester City, Pep Guardiola, alisema klabu hiyo inapaswa kujiandaa na maisha mapya bila uwepo wake kwenye benchi la ufundi. Mhispania...

Mambo 5 kuhusu kocha mpya Simba

Na mwandishi wetu, Gazetini HATIMAYE ni Steve Barker ndiye aliyetangazwa kuwa kocha mkuu mpya wa Simba akichukua mikoba ya Dimitar Pantev aliyefungashiwa virago wiki chache...

Yanga, Injinia Hersi; ‘win-win situation’ iliyorudisha chenji

Na Hassan Mwasha, Gazetini 'Win-win situation' ni nini? Ni pale pande mbili au zaidi zilizo kwenye mahusiano au ushirika wa kibiashara zinaponufaika kwa pamoja, pasi...

Usiyoyajua kuhusu Mapinduzi Cup 2026

Na mwandishi wetu, Gazetini MSIMU huu wa Kombe la Mapinduzi umekuja na sura mpya, kubwa ikiwa ni ongezeko la Shilingi milioni 50 katika zawadi ya...

Kozi ngumu, zenye mishahara mikubwa

Na mwandishi wetu, Gazetini "UVUMILIVU ni mchungu lakini matunda yake ni matamu." Ni msemo unaotafsiri maisha mazuri wanayoishi waajiriwa baada ya mateso ya 'kozi' ngumu...

Libya iliyogawanyika na mateso wanayopitia wanawake

TRIPOLI, Libya MATUKIO ya wanawake watatu kuuawa yamezua mjadala mkubwa juu ya usalama jinsia hiyo nchini Libya.Staa wa mitandao ya kijamii, Khansa Al-Mujahid, aliuawa kwa...

Nyasi zitawaka moto Afcon 2025: Kundi F

CAIRO, MisriFAINALI za mwaka huu za Mataifa ya Afrika (AFCON 2025) zinatarajiwa kuanza kutimua vumbi lake Desemba 21, mwaka huu, na zitafikia ukomo Januari...

Nyasi zitawaka moto Afcon 2025: Kundi E

CAIRO, MisriFAINALI za mwaka huu za Mataifa ya Afrika (AFCON 2025) zinatarajiwa kuanza kutimua vumbi lake Desemba 21, mwaka huu, na zitafikia ukomo Januari...

Recent articles