Na Mwandishi Wetu, Gazetini
MAKAMU wa Rais mstaafu wa Tanzania, Dk. Philip Mpango, ametoa wito kwa Serikali kuongeza nguvu na mamlaka zaidi kwa Baraza la...
Na Hassan Mwasha, GazeiniHATIMAYE ushindi mnono wa mabao 4-1 dhidi ya KMC umeirejesha Yanga kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.Matokeo hayo yamaeifanya...
Na mwandishi wetu, Gazetini
KWAKO Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan. Nianze kwa kupongeza juhudi za Serikali yako katika kupigania...
Na Mwandishi wetu, GazetiniBAADA ya kuingia hatua ya makundi, sasa klabu za Simba na Yanga zimesogelea utajiri wa michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika.Yanga,...
Na Hassan Mwasha, GazetiniHIVI karibuni, klabu kongwe zaidi za soka nchini, Simba na Yanga, zilitangaza makocha wapya. Simba ilimuajiri, Dimitar Pantev, wakati Yanga walimpa...
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
VIONGOZI wa dini nchini wameendelea kuhimiza umuhimu wa kudumisha amani, umoja na uzalendo kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29,...
Na mwandishi wetu, GazetiniKLABU ya Yanga imemtangaza Pedro Goncalves kuwa kocha wake mpya na Mreno huyo anachukua mikoba ya Romain Folz aliyetimuliwa siku chache...
Mwandishi Wetu, Gazetini
ZIKIWA zimesalia siku chache kabla ya Watanzania kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, wito wa kudumisha amani na mshikamano umeendelea kutolewa...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
JUMATANO ya wiki ijayo, Oktoba 29, Watanzania watapiga kura kuchagua rais, wabunge na madiwani. Ni haki ya Kikatiba inayotekelezwa kila baada...