Ads: info@gazetini.co.tz |
23.8 C
Dar es Salaam

Author: Gazetini Editor

Maajabu 10 ya kinda Max Dowman

LONDON, Uingereza KWA sasa, kinda wa Arsenal, Max Downman, ni mchezaji wa pili kuifungia klabu ya England mabao mawili ya mchezo mmoja akiwa na...

VAR bado kizungumkuti EPL

LONDON, Uingereza TEKNOLOJIA ya kumsaidia mwamuzi kwa kutumia marejeo ya video ilitambulishwa Ligi Kuu ya England kwa lengo la kuondosha utata wa makosa...

Rais Trump dhidi ya vyombo vya habari Marekani

WASHINGTON DC, Marekani HIVI karibuni, vyombo vya habari vitatu maarufu vya Marekani vilimshitaki mahakamani Rais Donald Trump baada ya kiongozi huyo kuvipiga marufuku kuingia Ikulu. Vyombo...

Mkongwe ataja wachezaji wabovu Man United

MANCHESTER, Uingereza LEJENDARI wa Manchester United, Gary Neville, amewataja Angel Di Maria na Antony kuwa ndiyo wachezaji wabovu zaidi kuwahi kusajiliwa na klabu hiyo tangu...

Netanyahu alia na wapinzani

JERUSALEM, Israel WAZIRI Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amedai kuwa viongozi wa vyama vya upinzani wameanza kuungana kwa lengo la kumtoa madarakani. Uchaguzi Mkuu unatarajiwa...

Kocha afunguka Ronaldo kusugua benchi

LISBON, Ureno KOCHA wa timu ya soka ya Taifa ya Ureno, Jorge Jesus, ameanika sababu ya kumuweka benchi nahodha wake, Cristiano Ronaldo, katika mchezo dhidi...

Diaz: Kane anastahili Ballon d’Or

MUNICH, Ujerumani MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Colombia, Luis Diaz, anaamini staa mwenzake katika kikosi cha Bayern Munich, Harry Kane, ndiye anayestahili tuzo ya Ballon d’Or...

Klopp aaanza vibaya Ujerumani

MUNICH, Ujerumani KOCHA wa zamani wa Borussia Dortmund na Liverpool, Jurgen Klopp, ameanza na mguu mbaya kibarua chake cha kuinoa timu ya Taifa ya Ujerumani. Ujerumani...

Romero aombewa unadhodha Argentina

LONDON, Uingereza LEJENDARI Angel Di Maria amemshauri kocha wa timu ya soka ya Taifa ya Argentina, Lionel Scaloni, kumkabidhi kitambaa cha unahodha Cristian Romero. Aidha, kauli...

Estevao aingia rada za Barcelona

LONDON, Uingereza WINGA wa Chelsea, Estevao Willian, anawindwa na vigogo wa Ligi Kuu ya Hispaia , Barcelona, licha ya kwamba huu ni msimu wake wa...

Hispania mabingwa Kombe la Dunia U-20

MADRID, Hispania TIMU ya soka ya Taifa ya Hispania ya U-20 kwa upande wa wanawake imetwaa ubingwa wa Kombe la Dunia kwa ushindi wa penalti...

Joao Felix ataka kurudi Ulaya

LONDON, Uingereza MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Ureno, Joao Felix, ameweka wazi nia yake ya kuondokaAl-Nassr ya Saudi Arabia na kurudi katika soka la Ulaya. Aliwahi kucheza...

Recent articles

spot_img