Ads: info@gazetini.co.tz |
23.2 C
Dar es Salaam

Author: Gazetini Editor

Gamondi bado hajasomeka Taifa Stars

Na Hassan Mwasha, Gazetini MASHABIKI wa soka nchini bado hawajavutiwa na mwenendo wa timu yao ya Taifa ‘Taifa Stars’ tangu ilipoanza kunolewa na kocha wa...

Vigogo walioiingiza matatani Man City

MANCHESTER, Uingereza KLABU ya Manchester City iko kwenye presha kubwa kutokana na mashitaka inayokabiliwa nayo. Mashitaka ya kukiuka nidhamu ya matumizi ya fedha. Huenda ikakatwa...

Ripoti: Vifaa vya kujifunzia changamoto shuleni

Na Hassan Mwasha, Gazetini SEKTA ya elimu imekuwa na tija kubwa katika maeneo ya mtu binafsi, jamii na taifa kwa ujumla. Katika taifa lololote, mfumo...

Uhaba wa maji watesa watu 714,921

Na Hassan Mwasha, Gazetini WATU 714,921 waliotarajiwa kupata maji ya uhakika, hawanufainiki na huduma hiyo, kwa mujibu wa Ripoti ya Taasisi ya Uwajibikaji wa Umma...

Ripoti yaanika maumivu haya sekta ya afya

Na Hassan Mwasha, Gazetini TAASISI ya Uwajibikaji wa Umma kupitia Ripoti yake ya Mwaka 2024-25, imebaini uhaba wa asilimia 54.7 ya wahudumu kwenye sekta...

Akutwa hana hatia akisubiri kifo gerezani

LOS ANGELES, Marekani DOUGLAS Stewart Carter mwenye umri wa miaka 71, amerejea uraiani baada ya kuachiwa kwa dhamana. Ni baada ya miaka 41 ya kusota...

Manzambi; Kinda tishio kwa Yamal tuzo ya Ballon d’Or

LONDON, Uingereza NDANI ya miaka miwili tu, Johan Manzambi ametoka kuwa mchezaji asiyefahamika hadi kuingia kwenye rada za klabu kadhaa kubwa za Ulaya na huenda...

Urusi, Ukraine vita ndiyo kwanza inaanza

MOSCOW, Urusi RAIS wa Urusi, Vladimir Putin, ameimarisha vita vyake na Ukraine baada ya kutangaza ajira za wananjeshi wapya 15,500. Ni miaka minne na nususasa...

Chacha ameivua nguo CCM, kwanini asishughulikiwe?

Na Hassan Mwasha, Gazetini HIVI karibuni, Katibu wa Oganaizesheni wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Chacha, alitoa kauli iliyoibua mjadala mzito na wengine wakiitafsiri kuwa...

Vigogo EPL presha inapanda, inashuka

LONDON, Uingereza ARSENAL walifungua pazia la msimu huu wa Ligi Kuu ya England wakiwa na matajirio ya kutetea ubingwa wao. Manchester City, Liverpool na...

Hii ni vita ya Klopp, Xavi, Zidane

LONDON, Uingereza NI wiki 12 tu zimepita tangu timu ya soka ya Taifa ya Hispania ilipotwaa taji la fainali za Kombe la Dunia. Kwa sasa, mechi...

Kwanini Mbappe ameachana na Nike?

MADRID, Hispania KYLIAN Mbappe ameachana na kampuni ya vifaa vya michezo ya Nike baada ya kuwa balozi wake kwa miaka 20. Staa huyo wa Real...

Recent articles

spot_img