CAIRO, Misri
WIKI sita za vita kati ya Marekani na Israel zinazoishambulia Iran imesababisha mtikisiko mkubwa katika sekta ya usafiri wa anga barani Afrika. Makala...
LONDON, Uingereza
BAADA ya mfululizo wa matokeo mabaya na kiwango kisichoridhisha cha timu yao, mabosi wa Chelsea walimfuta kazi kocha Liam Rosenior hivi karibuni.
Alifukuzwa baada...
LONDON, Uingereza
LEICESTER City imeshuka kutoka Championship (Daraja la Kwanza England) hadi League One (Daraja la Pili). Hali ni tete kwao.
Hata hivyo, licha ya mwenendo...
KINSHASA, DRC
BARA la Afrika limepiga hatua kubwa tangu mwaka 2000 katika kukabiliana na vifo vya watoto wachanga, kwa mujibu wa utafiti wa Shirika la...
Na mwandishi wetu, Gazetini
LEO Aprili 25, 2026 ni Siku ya Malaria Duniani na kaulimbiu ni "Lengo ni Kutokomeza Malaria: Sasa Tunaweza. Tunapaswa Kutokomeza."
Kaulimbiu hiyo...
LONDON, Uingereza
CHELSEA haina kocha mkuu baada ya kumfungashia virago Liam Rosenior, ambaye aliajiriwa Januari, 2026 kuchukua nafasi ya Enzo Maresca.
Rosenior amefutwa kazi akiwa ameiongoza...
LONDON, Uingereza
HUENDA kocha wa zamani wa Manchester United, Ruben Amorim, akawa na timu nyingine msimu ujao wa Ligi Kuu ya England (EPL).
Mreno huyo alifungashiwa...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
SERIKALI imekabidhi hundi ya shilingi 94.1 bilioni kwa ajili ya mikopo ya wanawake, vijana, watu wenye ulemavu, wafanyabiashara wadogo, wakiwemo mamalishe...
Na Winfrida Mtoi
WADAU wa mchezo wa kuogelea nchini, wamefurahishwa na viwango vilivyooneshwa na watoto katika mashindano ya Afrika Mashariki, huku wakiomba serikali kuharakisha ujenzi...
Na Winfrida Mtoi
TANZANIA imethibishwa rasmi kuwa mwenyeji wa mashindano makubwa la urembo duniani ‘Miss World 2027’, huku Serikali ikisema imejipanga kuhakikisha linafanyika kwa mtindo...
Na Mwandishi Wetu
Mwanariadha nyota wa Tanzania, Sajinitaji Alphonce Simbu, ameendelea kufanya vizuri Boston Marathon baada ya kushika nafasi ya pili kwa mwaka wa pili...