Ads: info@gazetini.co.tz |
30.2 C
Dar es Salaam

Author: Gazetini Editor

Mo ajiondoa Bodi ya Wakurugenzi Simba,  Barbara Gonzalez arejea

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba, Mohammed Dewji ‘Mo’, ametangaza  kuachana na majukumu hayo na kumteua Crescentius Magori kuchukua nafasi...

Sakata la muuguzi Kibondo ahusishwa na rushwa

Na Mwandishi Wetu, Dodoma Mganga Mkuu wa Serikali Dk. Grace Magembe, ametoa ufafanuzi  kuhusu picha mjongeo (video) iliyosambaa mitandaoni ikimuonesha muuguzi na askari wakivutana katika...

Muhimbili yafafanua utaratibu wa uchangiaji figo

Na Mwandishi Wetu,Gazetini Hospitali ya Taifa Muhimbili (Upanga na Mloganzila),imetoa ufafanuzi kuhusu utaratibu wa uchangiaji figo kwa wagonjwa wanaohitaji huduma ya kupandikiza viungo hivyo. Kwa mujibu...

Polisi wawili washikiliwa kwa tuhuma za wizi wa mbolea

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Songwe Jeshi la Polisi mkoani Songwe linawashikilia watu saba, wakiwamo askari polisi wawili na madereva wa treni kwa tuhuma za kuhusika...

Wamiliki silaha haramu wapewa siku 60 kuzisalimisha

Na Mwandishi Wetu Jeshi la Polisi Tanzania limetangaza msamaha wa kutokushtakiwa kwa wananchi wote wanaomiliki silaha kinyume cha sheria endapo watasalimisha silaha hizo kwa hiari...

Msanii aingilia kati michango ya timu ya Taifa ya wenye ulemevu

Na Winfrida Mtoi Msanii wa Bongo Flava, Frank Humbuchi maarufu Foby amewataka watanzania na wasanii wenzake kuichangia timu ya Taifa ya Soka kwa watu wenye...

Timu ya Taifa kriketi ya wanawake kusaka tiketi ya Kombe la Dunia

Na Mwandishi Wetu Timu ya Taifa ya wanawake ya mchezo wa kriketi ya Tanzania inatarajiwa kushiriki mashindano ya kufuzu Kombe la Dunia yatakayofanyika nchini Namibia...

Ratiba ya Ligi Kuu yaanikwa, Dabi ya Kariakoo Yanga mwenyeji Desemba 13

Na Winfrida Mtoi Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara(TPLB) leo Agosti 29, 2025, imetangaza ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara msimu ya 2025/26, ikitarajia kuanza...

Ofisi ya Makamu wa Rais, DMI waandaa kongamano uchumi wa buluu

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Ofisi ya Makamu wa Rais kwa kushirikiana na Chuo cha Bahari cha Dar es Salaam (DMI) imeandaa kongamano la kitaifa la...

Waziri Masauni awataka wananchi kulinda miradi ya mabadiliko ya tabianchi

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Yusuf Masauni, amewataka wananchi kuilinda miradi ya mabadiliko...

Mradi wa umeme Chalinze – Dodoma wamtibua Dk. Biteko

Na Mwandishi Wetu Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amekasirishwa na kasi ndogo ya utekelezaji wa mradi wa njia ya kusafirisha...

Kijana ahukumiwa jela miaka 30 kwa kubaka mzee wa miaka 80 kichakani

Na Mwandishi Wetu Mahakama ya Wilaya ya Kisarawe, mkoani Pwani, imemhukumu Said Nawanje (20) mkazi wa Yombo Lukinga, wilayani humo, kifungo cha miaka 30 jela...

Recent articles

spot_img