Ads: info@gazetini.co.tz |
25.2 C
Dar es Salaam

Author: Gazetini Editor

Davido afichua kuhusu watoto wake

LAGOS, Nigeria  STAA wa Afrobeats, David Adeleke, maarufu Davido, amesema watoto wake wamemuuliza kwanini hawakupatikana kwa mama mmoja. Mwanamuziki huyo ana watoto sita katika mahusiano yake na...

Video ya Diamond yazua gumzo hatima ya Zuchu

Na mwandishi wetu, Gazetini SIKU chache tu baada ya taarifa za Diamond Platnumz kuachana na Zuchu, imeibuka video ya bosi huyo wa Lebo ya Wasafi...

Mwandishi mkongwe zaidi Kombe la Dunia 2026

MIAMI, Marekani AKIWA na umri wa miaka 91 kwa sasa, Enrique Macaya Marquez ni miongoni mwa waandishi wa habari walioko Marekani wakisubiri kuripoti mechi ya...

England ya makocha 15 ‘haijatoboa’ Kombe la Dunia

MIAMI, Marekani  LICHA ya matumaini makubwa waliyokuwa nayo, mashabiki wa timu ya soka ya Taifa ya England wamelikosa tena taji la fainali za Kombe la...

Iran inatishia au italipiza kisasi kifo cha Khamenei?

TEHRAN, Iran TANGU Iran ilipomzika Ayatollah Ali Khamenei siku chache zilizopita, mamlaka za nchi hiyo zimeahidi kulipiza kisasi kwa wahusika wa mauaji ya kiongozi wao huyo. Mtoto...

Argentina v Hispania: Messi dhidi ya kivuli cha Yamal

MIAMI, Marekani JUMAPILI ya wiki hii, Julai 19, 2026, nyasi za Uwanja wa MetLife nchini Marekani zitawaka moto kwa mchezo wa fainali ya msimu huu...

Messi anacheka kwa dharau, atuma ujumbe

MIAMI, Marekani  NAHODHA wa timu ya soka ya Taifa ya Argentina, Lionel Messi, amezipuuza taarifa zinazodai kuwa wanabebwa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA). Messi...

Ibrahimovic aanika kilichoiua England kwa Argentina

MIAMI, Marekani LEJENDARI wa soka, Zlatan Ibrahimovic, ameibuka baada ya timu ya soka ya Taifa ya England kufungwa mabao 2-1 na Argentina katika mchezo wa usiku...

Akon afunguka kumtema Drake kisa Wizkid

LOS ANGELES, Marekani SUPASTAA wa muziki raia wa Marekani mwenye asili ya Senegal, Akon, amefichua sababu ya kuachana na Drake na kumsaini Wizkid kwenye lebo...

Mshindi Big Brother Naija kulamba Mil. 305/-

LAGOS, Nigeria WARATIBU wa Shindano la Big Brother Naija wametangaza msimu mpya wa 2026, huku wakitaja zawadi iliyovunja rekodi ya miaka iliyopita. Kwa msimu huu wa...

Joto halijapoa Rais kuongezewa muda Zimbabwe

HARARE, Zimbabwe RAIS wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa, ameendelea kutetea hatua ya Bunge kubadilisha Katiba na kumpa nyongeza ya kubaki madarakani hadi mwaka 2030. Wakati huo huo,...

Kim, Eminem walianza utotoni, ndoa ikawashinda

LOS ANGELES, Marekani  MOJA ya stori zilizotikisa tasnia ya burudani nchini Marekani ni hii ya mke wa zamani wa rapa Eminem, Kim Scott, kukimbizwa hospitali. Katika tukio hilo...

Recent articles

spot_img