Ads: info@gazetini.co.tz |
29.5 C
Dar es Salaam

Author: Gazetini Editor

Kocha Yanga: Siwaandai wachezaji wangu kisaikolojia kwa sababu si wagonjwa

Na Mwandishi Wetu Kocha Mkuu wa Yanga, Miloud Hamad amesema hawaandai wachezaji wake kisaikolojia kwa sababu si wagonjwa,  wako vizuri kiakili, yeye kama kocha kazi yake...

Rais Samia azindua kiwanda cha kutengeneza mabomba ya maji na uchakataji Pamba

Mwandishi Wetu Rais Samia Suluhu Hassan, leo Juni 16, 2025, amezindua kiwanda cha kutengeneza mabomba ya maji na uchakataji wa pamba cha MOLI Oil Mills...

Lissu ajitetea mwenyewe mahakamani,  awaweka pembeni  mawakili wake 30

Na Mwandishi Wetu Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imekubali maombi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu la kujitetea mwenyewe katika...

TSA yahitimisha msimu kibabe kwa mabingwa watoto kupatikana, BMT yawapongeza

Na Mwandishi Wetu Chama Cha Kuogelea Tanzania (TSA), kimehitimisha msimu wa mashindano kwa mujibu wa kalenda yao kwa kupata mabingwa katika michuano ya Taifa ya...

Uchaguzi Mkuu TFF Agosti 16

Na Mwandishi Wetu Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania imetangaza uchaguzi mkuu wa shirikisho hilo utakaofanyika Agosti 16, 2025 jijini Tanga. Taarifa ya Mwenyekiti...

Mchengerwa awataka wakuu wa mikoa kuwaongoza wananchi kufanya ‘jogging’

Na Mwandishi Wetu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amewataka wakuu wa mikoa na wilaya nchini kuwaongoza wananchi katika maeneo yao...

Watoto 295 wajitokeza mashindano ya kuogelea, TSA yajivunia mafanikio 

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Vijana wadogo  295 wenye umri chini ya miaka 12,wamejitokeza katika mashindano ya mchezo wa  kuogelea ya  Taifa ambapo  Chama cha Mchezo huo Tanzania (TSA), kimesema...

Watanzania  wako tayari kuchangia  harusi, sio gharama za matibabu ya mtoto- Dk. Mollel

Na Mwandishi Wetu Serikali imetoa wito kwa wananchi kubadilika na kuwekeza katika bima ya afya kama njia ya kujiandaa na changamoto za kiafya, ikiwemo gharama...

Wizara ya Elimu yazindua kituo cha huduma kwa wateja

Na Mwandishi Wetu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imezindua Kituo cha Huduma kwa wateja, kilichograimu takribani  Sh 100 milioni kwa lengo la kuanza kupokea ushauri,maoni...

Watu tisa wafariki dunia, 44 wajeruhiwa ajali ya basi na Lori Morogoro

Na Mwandishi Wetu Watu tisa wamefariki dunia na wengine 44 kujeruhiwa baada ya basi la kampuni ya Hai lenye namba za usajili T523 EKM...

Ndege ya Air India yaanguka na kuwaka moto

Na Mwandishi Wetu Ndege ya abiria ya Shirika la Ndege la  India ‘Air India’  iliyokuwa inatokea nchini India kwenda London nchini Uingereza imeanguka na kuwaka moto leo...

Sakata la dabi ya Kariakoo, Serikali yatoa msimamo

Na Mwandishi Wetu Serikali imesema kuwa inaendelea kufuatilia kwa makini sakata la mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Yanga na Simba, lakini haitangilia...

Recent articles

spot_img