LOS ANGELES, Marekani
STAA wa muziki wa Pop, Selena Gomez, amemtaja Eminem kuwa ndiye rapa aliyekuwa akivutiwa naye alipokuwa mdogo.
Selena (32), ameyasema hayo hivi karibuni alipokuwa akihojiwa kupitia kipindi cha televisheni cha ‘GOAT Talk’.
Bibiye huyo alifichua kuwa baba yake alikuwa ‘DJ’ na mara nyingi alitumia nyimbo za Eminem katika kazi zake.
“Nilipokuwa mdogo, nilijikuta navutiwa na kazi zake lakini kwa sasa rapa wangu bora ni Nicki Minaj,” alisema Minaj.
Selena amtaja Eminem
Published:


