Ads: info@gazetini.co.tz |
24.2 C
Dar es Salaam

Stay tuned

Subscribe to our latest newsletter and never miss the latest news!
Our newsletter is sent once a week, every Monday.

Latest news

Jeshi la Polisi lathibitisha kumshikilia Waziri wa zamani

Na Mwandishi Wetu, Gazetini JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limethibitisha  kuwa  linamshikilia Waziri wa zamani, Geoffrey Mwambe, kwa tuhuma za  jinai...

Rooney: Nilitishiwa kuuawa kisa Man United

MANCHESTER, Uingereza MPACHIKAJI mabao wa zamani wa Manchester United, Wayne Rooney, amefichua alivyowahi kupokea vitisho vya kuuawa baada ya kujiunga na klabu hiyo akitokea Everton. Mwaka...

Villa ya Unai Emery haishikiki Ulaya

LONDON, Uingereza IKIWA ugenini usiku wa jana Desemba 11, 2025, Aston Villa ilipata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Basel ya Uswis, ukiwa ni mchezo...

‘Still Mshua EP’ ya Mau Music yazidi kupenya

Na mwandishi wetu, Gazetini MSANII wa Bongo Fleva anayefanya kazi zake nchini Afrika Kusini, Mau Music, ameendelea kutamba mitandaoni na kwenye majukwaa ya muziki baada...

Kinyerezi 1 Extension kubadili sura ya Dar es Salaam

Na mwandishi wetu, Gazetini Mabadiliko makubwa yanayoendelea ndani ya sekta ya nishati yanaanza kuibadili sura ya Jiji la Dar es Salaam, huku Serikali ikithibitisha kuwa...

Libya iliyogawanyika na mateso wanayopitia wanawake

TRIPOLI, Libya MATUKIO ya wanawake watatu kuuawa yamezua mjadala mkubwa juu ya usalama jinsia hiyo nchini Libya.Staa wa mitandao ya kijamii, Khansa Al-Mujahid, aliuawa kwa...

Rais akamatwa, kushitakiwa kwa shutuma za rushwa

SUCRE, Bolivia MWEZI mmoja tu baada ya kutoka madarakani, polisi nchini Bolivia wamemtia nguvuni Rais mstaafu, Luis Arce, ili kufikishwa mahakamani kwa tuhuma za rushwa. Luis...

Mastaa wanaosubiriwa EPL dirisha dogo Januari

LONDON, Uingereza USAJILI wa dirisha dogo wa Januari, mwakani, uko njiani kwa klabu za soka barani Ulaya, zikiwamo zile za Ligi Kuu ya England (EPL). Manchester...

Jenista Mhagama afariki dunia

Na Mwandishi Wetu, Gazetini ALIYEKUWA Waziri wa Afya na Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Jenista Mhagama (58) amefariki dunia leo Disemba 11, 2025 jijini Dodoma. Kwa...

Aliyemuua Waziri Mkuu aomba radhi

TOKYO, Japan TETSUYA Yamagami, ambaye ni mwanaume aliyekutwa na hatia katika mashitaka ya kumuua Waziri Mkuu wa zamani wa Japan, Shinzo Abe, amekiri makosa na...

Bunge lataka Rais apunguziwe kifungo

RIO Brazil BUNGE la Brazil limewasilisha mswada wa kuomba Rais wa zamani wa Taifa hilo, Jair Bolsonaro, kupunguziwa adhabu ya kifungo cha gerezani. Bolsonaro mwenye umri...

Marekani yazitaka Thailand, Cambodia kumaliza vita

WASHINGTON DC, Marekani SERIKALI ya Marekani imezionya Thailand na Cambodia ikizitaka nchi jirani hizo kuacha mara moja vita inayoendelea. Kwa siku tatu mfululizo, yameshuhudiwa mapigano...