Ads: info@gazetini.co.tz |
24.2 C
Dar es Salaam

Stay tuned

Subscribe to our latest newsletter and never miss the latest news!
Our newsletter is sent once a week, every Monday.

Latest news

Belarus yaachia wafungwa 123

MINSK, Belarus SERIKALI ya Belarus imetangaza kuwaachia huru wafungwa 123, akiwamo wanasiasa wa upinzani, ikiwa ni katika kutekeleza maagizo ya Marekani. Marekani iliiwekea vikwazo vya kiuchumi...

Urusi yakata umeme Ukraine

KYIV, Ukraine WAKAZI zaidi ya milioni moja wanakosa huduma ya umeme nchini Ukraine na hiyo imesababishwa na mashambulizi makali ya Urusi kwa majirani zao hao. Urusi...

Mashabiki wa Messi wang’oa viti India

NEW DELHI, India MASHABIKI wa Lionel Messi wamekasirishwa na hatimaye kuamua kung'oa viti baada ya kunyimwa fursa ya kumuona kwa muda mrefu staa huyo wa...

Utafiti: Midoli ya plastiki hatari kwa watoto

Na mwandishi wetu, Gazetini HIYO ni kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na wataalamu wa afya wanaojihusisha na masuala ya homoni nchini Ujerumani. Katika utafiti wao, wamebaini...

Ekitike aweka rekodi bao la mapema EPL

MERSEYSIDE, England KATIKA ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Brighton, straika wa Liverpool, Hugo Ekitike, alifunga yote na kuandika historia mpya msimu huu wa Ligi...

Ramos atajwa Old Trafford

MANCHESTER, Uingereza ZIMEIBUKA ripoti zinazoihusisha Manchester United na beki wa kati wa zamani wa Real Madrid na timu ya taifa ya Hispania, Sergio Ramos. Ramos mwenye...

Bei ya tiketi Kombe la Dunia yazua gumzo

LONDON, Uingereza MASHABIKI wa soka duniani kote wameendelea kulalamikia bei kubwa ya tiketi za kuingia uwanjani wakati wa fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika mwakani. Kwa...

Avunja rekodi ya kukumbatia mti kwa siku tatu

NAIROBI, Kenya MWANAHARAKATI wa mazingira nchini Kenya, Truphena Muthoni, amevunja rekodi yake ya kukumbatia mti, safari hii akitumia siku tatu (saa 72) mfululizo. Muthoni amefanya hivyo...

UNICEF: Vikwazo vya umri pekee havitoshi kuwalinda watoto mitandaoni

Na mwandishi wetu, Gazetini ULIMWENGUNI kote, serikali zinaendelea kujadili umri unaofaa kuruhusu matumizi ya mitandao ya kijamii, huku baadhi zikianzisha vikwazo vipya vya umri ili...

Makocha hawa bado wako benchi Ulaya

LONDON, Uingereza UNAMKUMBUKA Bruno Lage? Aliwahi kufanya kazi Ligi Kuu ya England akiwa na Wolves lakini sasa hana kibarua tangu alipofukuzwa Benfica na nafasi yake...

Bokya: Tyson wa Bongo ataomba maji ulingoni

Na Winfrida Mtoi, Gazetini BONDIA Ismail Khalid maarufu Boyka ametamba kutoa kipigo kikali kwa mpinza wake Hassan Ndonga ‘Tyson Wa Bongo’  hadi  aombe maji ulingoni. Bokya...

Jenista kuzikwa Desemba 16

Na Mwandishi Wetu MWILI wa aliyekuwa Mbunge wa Peramiho (CCM), Jenista Mhagama unatarajiwa kuzikwa Jumanne ya Desemba 16, 2025 katika Kijiji cha Ruanda, Mbinga mkoani...