Ads: info@gazetini.co.tz |
26.5 C
Dar es Salaam

Stay tuned

Subscribe to our latest newsletter and never miss the latest news!
Our newsletter is sent once a week, every Monday.

Latest news

Mnanda; muziki mzuri uliovaa vazi la uhuni

Na Hassan Mwasha, Gazetini KATIKA miaka ya 1990, muziki wa mnanda, maarufu pia kwa jina la mchiriku, uliwahi kujizolea umaarufu mkubwa hapa nchini, hasa katika...

Tumeisahau jana, tunaiishi leo, tunaitaka kesho!

Na Hassan Mwasha, Gazeini KAMA kuna kosa kubwa analoweza kulifanya binadamu katika uso wa dunia ni kujipumbaza kuhusu jana yake. Kusahau kila kitu. Kufuta kumbukumbu...

Umelipia lakini bado hujaunganishiwa umeme?

Na Hassan Mwasha, Gazetini WAKATI mwingine, malalamiko ya kuchelewa kuunganishiwa huduma ya umeme kutoka TANESCO yanaweza kusababishwa na uelewa mdogo wa wateja juu ya muda...

Lipia kwa awamu ili uunganishiwe umeme

Na Hassan Mwasha, Gazetini WAKATI mwingine, kama inavyoanishwa katika Mkataba wa Huduma kwa Wataje, TANESCO inatoa nafasi wa wananchi wenye uchumi mdogo kumudu gharama za...

Hujapata ‘control number’ baada ya maombi ya umeme?

Na Hassan Mwasha, Gazetini KWA mujibu wa Mkataba wa Huduma kwa Wateja, Shirika la Umeme nchini linatoa elimu ya kutosha kwa mteja wake juu...

Charles Taylor; Alitoroka gerezani kulipiza kisasi kwa Rais ‘aliyemtumbua’

Na mwandishi wetu, Gazetini HISTORIA ya siasa za Afrika itaendelea kumkumbuka kama kielelezo cha viongozi wachache waliowahi kutumia vibaya nafasi zao. Alikuwa rais wa Liberia kuanzia...

Shehena Kigoma yapaa, TPA yawekeza zaidi ya bilioni 100

Na mwandishi wetu, Gazetini SERIKALI imesema katika kuongeza ufanisi katika sekta za Bandari nchini kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imetekeleza miradi mbalimbali...

Viuatilifu hatarishi vyawaathiri wakulima milioni 433 Duniani

Na mwandishi wetu, Gazetini UTAFITI mpya wa kimataifa umebaini kuwa kati ya wakulima na wafanyakazi wa mashambani milioni 402 hadi 433 duniani wanaathiriwa na viuatilifu...

Shilingi bilioni 198.67 kuimarisha umeme Songwe, Mbeya

Na mwandishi wetu, Gazetini SERIKALI imesaini mkataba wa Sh bilioni 198.67 kwa ajili ya ujenzi wa njia mpya ya kusafirisha umeme wa msongo wa kilovoti...

De Jong fiti kuivaa Getafe

CATALUNYA, Hispania KOCHA wa Barcelona, Hansi Flick, amefichua kuwa kiungo wake, Frenkie de Jong, atakuwa fiti wiki chache zijazo. Flick amezungumzia hayo kuelekea mchezo wao wa...

Wawili tu Afrika waingia Ballon d’Or ya Wanawake

LONDON, Uingereza NI nyota wawili pekee kutoka Afrika walioingia 'Top 30' ya kinyang'anyiro cha kuiwania tuzo ya mwaka huu ya Ballon d'Or kwa upande wa...

Vozinha wa Cape Verde awania Ballon d’Or

PRAIA, Cape Verde KIPA wa timu ya soka ya Taifa ya Cape Verde, Vozinha, ametajwa kwenye orodha ya wanaoiwania tuzo ya mwaka huu ya Ballon...