Ads: info@gazetini.co.tz |
30.2 C
Dar es Salaam

Stay tuned

Subscribe to our latest newsletter and never miss the latest news!
Our newsletter is sent once a week, every Monday.

Latest news

Aziz Ki, Mobetto kama mastaa hawa tu

Na Hassan Mwasha, Gazetini MOJA ya ‘kapo’ zenye nguvu na ushawishi mkubwa mitandaoni ni hii ya kiungo wa Yanga raia wa Burkina Faso, Stephanie Aziz...

Safari ngumu ya maisha ya bilionea Cherng

CALIFORNIA, Marekani UNAMFAHAMU Andrew Cherng? Ndiye mmiki wa kampuni maarufu ya Panda Express, ambayo ina migahawa yake mingi katika maeneo mbalimbali duniani. Kwa sasa, Cherng...

Mkataba wa mafuta na Marekani; faida au hasara kwa Venezuela?

WASHINGTON DC, Marekani MAREKANI imeuita kuwa ni ‘mkataba bora zaidi wa mafuta katika historia ya dunia’. Ni mkataba unaoipa Marekani sehemu ya akiba ya mafuta...

Usajili wa bei mbaya unavyokosa matokeo Tottenham

LONDON, Uingereza TOTTENHAM imepoteza mechi zote mbili ilizocheza msimu huu wa Ligi Kuu ya England. Ilifungua pazia kwa kufungwa mabao 3-0 na Brighton, kabla ya...

Mtaka afichua urafiki wake na Makamu wa Rais

Na Mwandishi wetu, Gazetini MKUU wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka, amefichua historia ya urafiki wake wa muda mrefu na Makamu wa Rais wa Jamhuri...

DC Chato: Huduma za OSHA ni muhimu kwa ukuaji wa uchumi

Na mwandishi wetu, Gazetini Mkuu wa Wilaya ya Chato, mkoani Geita, Louis Bura, amesema kasi kubwa ya ukuaji wa uchumi katika Mkoa wa Geita imepelekea...

Kwanini bado Afrika inaagiza vyakula kutoka nje?

CAIRO, Misri AFRIKA hutumia zaidi ya Dola za Marekani bilioni 100 kila mwaka kuagiza vyakula kutoka nje, huku wataalamu wakihimiza juhudi za makusudi za kupunguza...

Mourinho aipeleka Ballon d’Or kwa Mbappe

MADRID, Hispania KOCHA wa Real Madrid, Jose Mourinho, amesema mshambuliaji wake raia wa Ufaransa, Kylian Mbappe, anastahili tuzo ya mwaka huu ya Ballon d’Or. Akizungumza kuelekea...

Watatu waomba kuondoka Tottenham

LONDON, Uingereza KOCHA wa Tottenham, Roberto De Zerbi, amefichua kuwa mastaa wake watatu kikosini wameomba kuondoka klabuni hapo. Zerbi raia wa Italia, ameenda mbali zaidi na...

Messi apachika manne ‘wakiua’ 7

MIAMI, Marekani NAHODHA wa Inter Miami ya Ligi Kuu ya Marekani (MLS), Lionel Messi, ameingia kambani mara nne katika ushindi wa mabao 7-1 walioupata dhidi...

Ajali ya basi yaua watu 27 wakienda kanisani

HARARE, Zimbabwe WAUMINI wa Kikiristo takribani 27 waliokuwa wanakwenda kanisani wamepoteza maisha baada ya basi lao dogo kupata ajali nchini Zimbabwe. Kwa mujibu wa taarifa ya...

Huyu kuziba pengo la Alvarez pale Arsenal

LONDON, Uingereza WASHIKA Bunduki wa London, Arsenal, wameingia kwenye mazungumzo ya kumsajili staa wa Lille ya Ufaransa, Matias Fernandez-Pardo. Licha ya Arsenal kuitaka saini yake, pia...