21 C
New York

Hawa hapa makocha wa makombe EPL

Published:

LONDON, Uingereza

MPAKA sasa, Alex Ferguson anabaki katika historia ya soka la Ulaya kama kocha mwenye mataji mengi ya Ligi Kuu ya England (EPL). Alistaafu mwaka 2003 akiwa na vikombe 13.

Katika nafasi ya pili, ni kocha raia wa Hispania aliyeondoka Manchester City, Pep Guardiola, ambaye amebeba vikombe vya EPL mara sita.

Anayefuata ni Jose Mourinho akiwa na Chelsea, ambapo aliweza kuipa mataji matatu, idadi sawa na ile ya Arsene Wenger akiinoa Arsenal.

Makocha wenye taji moja kila mmoja ni
Kenny Dalglish (Blackburn Rovers),
Carlo Ancelotti (Chelsea), Roberto Mancini (Man City), na Manuel Pellegrini (Man City).

Wengine ni Claudio Ranieri (Leicester City), Antonio Conte (Chelsea), Jurgen Klopp (Liverpool), Arne Slot (Liverpool), na Mikel Arteta (Arsenal).

Related articles

Recent articles