Ads: info@gazetini.co.tz |
30.2 C
Dar es Salaam

Europe

Moyes abeba lawama za mashabiki Everton

MERSEYSIDE, Uingereza KOCHA wa Everton, David Moyes, ameungana na mashabiki wa timu hiyo akisema walikuwa sahihi kwa kile walichokifanya wakati wa mchezo wao wa sare...

Man City yatua kwa Gakpo

MANCHESTER, Uingereza KLABU ya Manchester City imeanza mazungumzo na Liverpool ikijaribu kuishawishi iwauzie winga raia wa Ureno, Cody Gakpo. Man City imechukua hatua huku dirisha kubwa...

Jesus sasa kutimkia Atletico

LONDON, Uingereza MPACHIKAJI mabao wa Arsenal raia wa Brazil, Gabriel Jesus, yuko mbioni kujiunga na wakongwe wa La Liga, Atletico Madrid. Mtaalamu wa habari za usajili...

Babu wa miaka 81 jela maisha kwa ubakaji, mauaji

BERLIN, Ujerumani MAHAKAMA Kuu nchini Ujerumani imemuhukumu kifungo cha maisha mwanaume mwenye umri wa miaka 81 kwa mashitaka ya kubaka na kuua. Kwa mujibu wa taarifa,...

Kumekucha Ligi ya Mabingwa Ulaya 2026-27

MONACO, Ufaransa DROO ya ratiba ya Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu huu wa 2026-27 ilichezeshwa jana, Agosti 27, 2026 mjini Monaco, Ufaransa. Ligi hiyo kwa...

Desailly hamkubali hata kidogo kipa Chelsea

LONDON, Uingereza LEJENDARI wa Chelsea, Marcel Desailly, amesema kama kuna mchezaji asiyetakiwa kuingia tena kwenye kikosi cha timu hiyo, basi ni kipa Robert Sanchez. Kauli ya...

Man United njia nyeupe kwa Adarabioyo

MANCHESTER, Uingereza KLABU ya Manchester United imejiweka kwenye nafasi nzuri ya kuinasa saini ya beki wa Chelsea, Tosin Adarabioyo. Katika dirisha kubwa hili la usajili wa...

Mfalme wa Norway afariki akiwa na miaka 89

OSLO, Norway MFALME wa Norway, Harald V, amefariki akiwa na umri wa miaka 89, zikiwa ni siku chache zimepita tangu alipopelekwa hospitali kwa ajili ya...

Chelsea na mkosi wa jezi namba 9

LONDON, Uingereza ILIMCHUKUA sekunde 31 pekee straika wa Kibrazil, Joao Pedro, kuifungia bao Chelsea katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Fulham, mchezo wa Ligi Kuu...

China inavyoua biashara ya magari Ujerumani

BERLIN, Ujerumani BMW imekuwa kampuni ya tano ya utengenezaji magari nchini Ujerumani kutangaza kupunguza wafanyakazi. Kampuni zilizotangulia kuchukua hatua hiyo ni VW, Porsche na Mercedes-Benz. Hatua...

Xavi Hernandez kurejesha heshima ya Uholanzi?

ZEIST, Uholanzi KIUNGO na kocha wa zamani wa Barcelona, Xavi Hernandez, ndiye aliyekabidhiwa benchi la ufundi kwa ajili ya kuinoa timu ya soka ya Taifa...

Life for Relief and Development Calls for Support for Victims of Wars

As the scope of humanitarian crises continues to expand worldwide, World Humanitarian Day serves as a reminder that behind the statistics of wars and...

Recent articles