Ads: info@gazetini.co.tz |
22.5 C
Dar es Salaam

World CUP

Kumbe wanamuziki hawalipwi kutumbuiza Kombe la Dunia

MEXICO CITY, Mexico KUTUMBUIZA katika ufunguzi wa Kombe la Dunia, kama walivyofanya Shakira na Burna Boy, kunaweza kutafsiriwa kuwa ni dili linalowapa pesa nyingi wanamuziki...

Canada, Bosnia zamalizana kwa sare

TORONTO, Canada HAKUNA mbabe. Ni dakika 90 za mchezo wa Kundi B uliochezwa Juni 12, 2026, ambapo wenyeji wa michuano ya mwaka huu ya Kombe...

Ndugu wanaocheza timu tofauti Kombe la Dunia 2026

MEXICO CITY, Mexico FAINALI za Kombe la Dunia za mwaka huu (2026) zinaendelea katika mataifa matatu ya Marekani, Mexico na Canada. Wakati huo huo, wapo wachezaji...

Bafana Bafana waitangazia vita Czech

MEXICO CITY, Mexico BAADA ya kufungwa mabao 2-0 na wenyeji Mexico, beki wa timu ya soka ya Taifa ya Afrika Kusini 'Bafana Bafana', Ime Okon,...

Thomas Tuchel: Kutoka uhudumu wa baa hadi ukocha Kombe la Dunia

LONDON, Uingereza WAKATI timu ya soka ya Taifa ya England inacheza Kombe la Dunia mwaka 1998, kocha wao wa sasa, Thomas Tuchel, alikuwa muhudumu wa...

Aliyetokea benchi aiokoa Korea Kusini mbele ya Czech

ZAPOPAN, Mexico TIMU ya soka ya Taifa ya Korea ya Kusini imepata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Jamhuri ya Czech katika mchezo wa alfajiri...

Mexico yaizima Afrika, yaitandika Bafana Bafana

MEXICO City, Mexico TIMU ya soka ya Taifa ya Afrika Kusini 'Bafana Bafana' imeanza na mguu mbaya fainali za Kombe la Dunia za mwaka huu...

UEFA yamkabidhi PSG refa aliyebaniwa Kombe la Dunia

MOGADISHU, Somalia ZIKIWA ni siku chache tu tangu alipozuiwa kuingia Marekani, hivyo kukosa nafasi ya kuchezesha Kombe la Dunia, mwamuzi raia wa Somalia, Omar Artan,...

Shabiki afariki akiingia uwanjani Kombe la Dunia

MEXICO CITY, Mexico SHABIKI wa soka mwenye umri wa miaka 80 amefariki muda mfupi kabla ya kuingia uwanjani kuitazama Mexico ikivaana na Afrika Kusini katika...

‘Mido’ astaafu kabla ya mechi ya kwanza Kombe la Dunia 2026

TOKYO, Japan KIUNGO wa timu ya Taifa ya Japan, Wataru Endo, ametangaza kustaafu soka hata kabla ya kucheza mechi yao ya kwanza msimu huu wa...

Vikosi vya Kombe la Dunia 2026: UFARANSA

PARIS, Ufaransa MATAIFA 48 ndani ya fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika kuanzia Juni 11 - Julai 19, 2026 huko Marekani, Mexico na Canada. Kuelekea michuano...

Vikosi vya Kombe la Dunia 2026: SENEGAL

DAKAR, Senegal MATAIFA 48 ndani ya fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika kuanzia Juni 11 - Julai 19, 2026 huko Marekani, Mexico na Canada. Kuelekea michuano...

Recent articles