Ads: info@gazetini.co.tz |
21.9 C
Dar es Salaam

World CUP

Aliyetokea benchi aiokoa Korea Kusini mbele ya Czech

ZAPOPAN, Mexico TIMU ya soka ya Taifa ya Korea ya Kusini imepata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Jamhuri ya Czech katika mchezo wa alfajiri...

Mexico yaizima Afrika, yaitandika Bafana Bafana

MEXICO City, Mexico TIMU ya soka ya Taifa ya Afrika Kusini 'Bafana Bafana' imeanza na mguu mbaya fainali za Kombe la Dunia za mwaka huu...

UEFA yamkabidhi PSG refa aliyebaniwa Kombe la Dunia

MOGADISHU, Somalia ZIKIWA ni siku chache tu tangu alipozuiwa kuingia Marekani, hivyo kukosa nafasi ya kuchezesha Kombe la Dunia, mwamuzi raia wa Somalia, Omar Artan,...

Shabiki afariki akiingia uwanjani Kombe la Dunia

MEXICO CITY, Mexico SHABIKI wa soka mwenye umri wa miaka 80 amefariki muda mfupi kabla ya kuingia uwanjani kuitazama Mexico ikivaana na Afrika Kusini katika...

‘Mido’ astaafu kabla ya mechi ya kwanza Kombe la Dunia 2026

TOKYO, Japan KIUNGO wa timu ya Taifa ya Japan, Wataru Endo, ametangaza kustaafu soka hata kabla ya kucheza mechi yao ya kwanza msimu huu wa...

Vikosi vya Kombe la Dunia 2026: UFARANSA

PARIS, Ufaransa MATAIFA 48 ndani ya fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika kuanzia Juni 11 - Julai 19, 2026 huko Marekani, Mexico na Canada. Kuelekea michuano...

Vikosi vya Kombe la Dunia 2026: SENEGAL

DAKAR, Senegal MATAIFA 48 ndani ya fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika kuanzia Juni 11 - Julai 19, 2026 huko Marekani, Mexico na Canada. Kuelekea michuano...

Vikosi vya Kombe la Dunia 2026: URUGUAY

NEW YORK, Marekani MATAIFA 48 ndani ya fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika kuanzia Juni 11 - Julai 19, 2026 huko Marekani, Mexico na Canada. Kuelekea...

Kombe la Dunia 2026: Karata ya mwisho kwa Cristiano Ronaldo

LISBON, Ureno KAMA kuna mchezaji anayezitamani zaidi fainali za Kombe la Dunia za mwaka huu, 2026, basi ni nahodha wa timu ya Taifa ya Ureno,...

Wenger aibuka na utabiri wake Kombe la Dunia 2026

PARIS, Ufaransa KOCHA wa zamani wa Arsenal, Arsène Wenger, ameanza kwa kuitaja timu ya Taifa ya Ufaransa, akiipa nafasi katika zile anazoamini zitatwaa ubingwa wa...

Rais Trump alivyozima ndoto, rekodi ya refa wa Somalia

MOGADISHU, Somalia GUMZO kubwa kuelekea fainali za Kombe la Dunia za mwaka huu ni mwamuzi wa kati raia wa Somalia, Omar Artan, kurejea nchini kwao...

Vikosi vya Kombe la Dunia 2026: SAUDI ARABIA

NEW YORK, Marekani MATAIFA 48 ndani ya fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika kuanzia Juni 11 - Julai 19, 2026 huko Marekani, Mexico na Canada. Kuelekea...

Recent articles