LONDON, UingerezaCHELSEA watakuwa nyumbani Stamford Bridge kesho kuwaalika Arsenal katika mchezo wa Ligi Kuu, ambao ni 'derby' Jiji la London.Arsenal wanaongoza Ligi wakiwa na...
MUNICH, UjerumaniTANGU aliyojiunga na Bayern Munich akitokea Tottenham, mshambuliaji wa kimataifa wa England, Harry Kane, amefungia timu hiyo tangu Bundesliga jumla ya mabao 109...
Na mwandishi wetu, GazetiniBAADA ya kupoteza mechi yao ya kwanza ya hatua ya makundi msimu huu wa Ligi ya Mabingwa, Simba inahitaji ushindi wikiendi...
CAIRO, MisriKIUNGO wa zamani wa Stoke City na Huddersfield Town, Ramadan Sobhi, amefungiwa kucheza kandanda kwa kipindi cha miaka minne.Nyota huyo raia wa Misri...
CAIRO, MisriKOCHA wa Al Ahly, Jess Thorup, amekosoa kitendo cha kukosekana kwa teknolojia ya kumsaidia mwamuzi kwa marudio ya video (VAR) katika mechi za...
LONDON, UingerezaWALIKUWEPO Kombe la Dunia mwaka 2006 na sasa wanajiandaa kushiriki fainali za mwakani wakiwa miongoni mwa wachezaji wenye umri mkubwa zaidi. Ni miaka...
LONDON, UingerezaWAKATI mwingine, mambo huwa hayaendi kama yalivyotarajiwa, hasa katika soko la usajili wa wachezaji wa soka barani Ulaya.Kwa ufupi, wapo wanasoka waliosajiliwa kwa...
MIAMI, MarekaniKUWEKA na kuvunja rekodi si jambo geni kwa Lionel Messi. Amefanya hivyo kwa miaka mingi, tangu akiwa Barcelona, hadi alipokuwa PSG, na sasa...
MERSEYSIDE, EnglandLIVERPOOL imepoteza mechi sita kati ya saba za Ligi Kuu ya England (EPL) ilizocheza hivi karibuni. Mwenendo huo umeibua presha kubwa kwa kocha...