Ads: info@gazetini.co.tz |
22.2 C
Dar es Salaam

Michezo

Simba kuwania tuzo ya Klabu Bora Afrika, Kapombe mchezaji bora

Na Mwandishi Wetu Klabu ya Simba imeteuliwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF), kuwania tuzo ya Klabu Bora Afrika (Club of the Year) kwa mwaka...

Haaland aifikia rekodi ya Ronaldo

VILLARREAL, HispaniaBAADA ya kuingia kambani mara moja katika ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Villarreal, Erling Haaland ameifikia rekodi ya Cristiano Ronaldo.Haaland amezifumania nyavu...

Simba yaanza jeuri ya Kimataifa

Na Winfrida Mtoi Ushindi wa mabao 3-0 ugenini dhidi ya Nsingizini Hotspurs katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, klabu ya Simba imetamba kuwa ni kati ya...

Mgomo wa wachezaji waendelea La Liga

MADRID, HispaniaMECHI za Ligi Kuu ya La Liga zimeendelea kushuhudia wachezaji wakisimama bila kucheza mpira kwa sekunde 15 za mwanzo.Kitendo hicho kinatumika kama ujumbe...

Vurugu zamaliza ‘derby’, polisi wajeruhiwa

TEL AVIV, IsraelVURUGUGU kubwa za mashabiki wa Hapoel Tel Aviv na Maccabi Tel Aviv wameshambuliana na kusababisha mchezo kati ya timu hizo zenye upinzani...

United wamaliza ‘uteja’ Anfield

MERSEYSIDE, UingerezaBAO la mpira wa kichwa katika dakika ya 84 lililofungwa na Harry Maguire limeifanya Manchester United kupata ushindi wake wa kwanza katika mechi...

Kocha Stars: Pointi nne zinatosha AFCON

Na Hassan Mwasha, GazetiniKOCHA wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', Hemed Suleiman, amesema pointi nne zinatosha kukivusha kikosi hicho hatua...

Kwanini Yanga wamemfungashia virago Folz?

Na Hassan Mwasha, GazetiniKWA sasa benchi la ufundi la Yanga lipo chini ya kocha msaidizi raia wa Malawi, Patrick Mabedi, ambaye aliajiriwa hivi karibuni."Uongozi...

Kane hashikiki, afikisha mabao 400

MUNICH, UjerumaniSTRAIKA wa Bayern Munich na timu ya taifa ya England, Harry Kane, amefikisha mabao 400 katika soka la ngazi ya klabu.Kane amefika hapo...

Forest wamtimua Postecoglou, aweka rekodi

LONDON, UingerezaKLABU ya Nottingham Forest imemfuta kazi kocha wake raia wa Austria, Ange Postecoglou, akiwa amehudumu kwenye benchi la ufundi kwa siku 39 pekee.Postecoglou...

Mambo magumu, Yanga yatimua kocha usiku

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Uongozi wa Klabu ya Yanga umevunja mkataba na Kocha Mkuu, Romain Folz.Uamuzi huo umekuja saa chache baada ya kupoteza mchezo kwa...

Arteta ampa mbinu mpya Gyokeres

LONDON, UingerezaMKUU wa benchi la ufundi la Arsenal, Mikel Arteta, amemtaka Viktor Gyokeres kuachana na presha za nje ya uwanja na badala yake kuelekeza...

Recent articles