Ads: info@gazetini.co.tz |
24.2 C
Dar es Salaam

Michezo

Bellingham aendeleza ubabe wake kwa Barcelona

MADRID, HispaniaKIUNGO wa Real Madrid, Jude Bellingham, amefunga bao moja na kutoa 'asisti' katika ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Real Madrid.Akifunga katika dakika...

Simba nayo yaenda hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika

Na Winfrida Mtoi Mabao ya ugenini yameibeba Simba kwenda makundi Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya leo kulazimishwa suluhu na Nsingizini kwenye Uwanja wa...

Yanga yatinga makundi CAFCL kibabe

Na Winfrida Mtoi Yanga imefanikiwa kutinga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika ikipindua meza kwa kuifunga Silver Strikers mabao 2-0 kwenye Uwanja wa...

Ni zamu ya Kane kubeba Ballon d’Or?

LONDON, UingerezaMWANZONI mwa mwaka huu, Harry Kane alitimiza ndoto yake ya miaka mingi; kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu. Ni baada ya miaka 15 ya...

Zimbabwe yatimua kocha kisa Kombe la Dunia

HARARE, ZimbabweMATOKEO mabaya katika mechi za kufuzu fainali zijazo za Kombe la Dunia yamesababisha kocha wa timu ya taifa ya Zimbabwe 'Warriors', Michael Nees,...

Osimhen afunga mbili, aandika historia Galatasaray

ISTANBUL, UturukiSTRAIKA wa kimataifa wa Nigeria, Victor Osimhen, jana alifunga mara mbili na kutoa 'asisti' katika ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Bodo/Glimt.Ni kwa...

Zulfa Macho atinga fainali ngumi Zone 3 Afrika

Na Mwandishi Wetu Bondia Mtanzania Zulfa Macho amemchapa kwa pointi Bisambu Deborah wa DR Congo katika pambano la nusu fainali ya mashindano ya ngumi ya...

Simba kuwania tuzo ya Klabu Bora Afrika, Kapombe mchezaji bora

Na Mwandishi Wetu Klabu ya Simba imeteuliwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF), kuwania tuzo ya Klabu Bora Afrika (Club of the Year) kwa mwaka...

Haaland aifikia rekodi ya Ronaldo

VILLARREAL, HispaniaBAADA ya kuingia kambani mara moja katika ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Villarreal, Erling Haaland ameifikia rekodi ya Cristiano Ronaldo.Haaland amezifumania nyavu...

Simba yaanza jeuri ya Kimataifa

Na Winfrida Mtoi Ushindi wa mabao 3-0 ugenini dhidi ya Nsingizini Hotspurs katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, klabu ya Simba imetamba kuwa ni kati ya...

Mgomo wa wachezaji waendelea La Liga

MADRID, HispaniaMECHI za Ligi Kuu ya La Liga zimeendelea kushuhudia wachezaji wakisimama bila kucheza mpira kwa sekunde 15 za mwanzo.Kitendo hicho kinatumika kama ujumbe...

Vurugu zamaliza ‘derby’, polisi wajeruhiwa

TEL AVIV, IsraelVURUGUGU kubwa za mashabiki wa Hapoel Tel Aviv na Maccabi Tel Aviv wameshambuliana na kusababisha mchezo kati ya timu hizo zenye upinzani...

Recent articles