TEHRAN, Iran
UNAITWA Mlima Pickaxe. Unapatikana Kusini mwa Iran katika Jimbo la Isfahan, umbali wa maili 1.24 kutoka kilipo kinu cha nyuklia cha Natanz. Ulinzi...
YOUNDE, Cameroon
NEW Bell ni moja ya magereza makubwa na maarufu si tu Younde na miji mingine jirani, bali Cameroon kwa ujumla. Wakati fulani, Shirika...
Na mwandishi wetu, Gazetini
WAKATI dunia ikiwa kwenye sintofahamu juu ya mustakabali wa vita vya Marekani na Iran, Kundi la kigaidi la Houthi nchini Yemen...
Na mwandishi wetu, Gazetini
HATIMAYE Karim Khan ameondoshwa katika kiti cha Mwendesha Mashitaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC). Kashfa ya unyanyasaji wa...
Na mwandishi wetu, Gazetini
KWA mwaka 2025, idadi ya wahamiaji nchini Marekani ilipungua kutoka milioni 2.7 hadi milioni 1.3, idadi ndogo zaidi katika historia ya...
TEHRAN, Iran
VITA vinaendelea. Si Marekani wala Iran, kila upande umekiuka makubaliano ya kusitisha vita yaliyoingiwa na pande mbili hizo wiki chache zilizopita.
Wakati vita vinaanza...
Na mwandishi wetu, Gazetini
UTAFITI wa Shirika la Takwimu za Kazi la Marekani umefichua namna watu nchini humo wanavyozitumia siku zao mbili za mapumziko ya...
WASHINGTON DC, Marekani
WAZIRI Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, atakuwa Ikulu ya Marekani Jumanne ya wiki ijayo alikoalikwa na mwenyeji wake, Rais Donald Trump.
Netanyahu amealikwa...
MUNICH, Ujerumani
WIKI chache zilizopita, alikuwa kwenye meza ya uchambuzi wa mechi za Kombe la Dunia akiishuhudia timu yake ya Taifa ya Ujerumani ikiondoshwa na...
NEW YORK, Marekani
BAADA ya miaka 10 ya kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Antonio Guterres, atakabidhi kijiti hicho kwa mtu mwingine ifikapo...