Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dk. Jim Yonazi ametembelea mabanda mbalimbali na kujionea maandalizi yaliofanywa na wadau mbalimbali kuelekea...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Kamati ya Maandalizi ya Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari Tanzania (EJAT) 2023, imelirudisha kundi la Habari za Gesi, Mafuta...
*Vipengele vya Gesi, Teknolojia na Sensa vyaondolewa sababu ya ufadhili
Na Faraja Masinde, Gazetini
Kamati ya Maandalizi ya Tuzo za Umahiri za Uandishi wa Habari Tanzania...
Na Veronica Simba, Gazetini
Wakala wa Nishati Vijijini (REA), katika Mwaka huu wa Fedha (2023/24), umetenga shilingi bilioni 10 kwa ajili ya kusambaza mitungi ya...
*Kunufaisha zaidi ya wananchi 350,000
Na Faraja Masinde, Tanga
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Waziri Kindamba amezindua mradi wa ReSea unaolenga uhifadhi wa maeneo makubwa ya...
Na Faraja Masinde, Gazetini
Mabadiliko ya tabianchi imeelezwa kuwa moja ya changamoto inayoathiri sekta ya kilimo nchini hatua ambayo imesababisha hata mbegu zilizopo kushindwa kustahimili...
Na Veronica Simba - REA
Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Hassan Saidy amewataka Wakandarasi wanaotekeleza miradi ya umeme vijijini, kuhakikisha wanafanya...
Na Mwandish Wetu, Gazetini
Kulingana na Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 yaliyotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS), Manyara ndiyo...
*Kamati ya Bunge ya Afya na UKIMWI yapongeza
Na Nadhifa Omar, Singida
Kituo cha Maarifa cha Manyoni mkoani Singida kimechangia katika mikakati ya Taifa ya utoaji...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan leo Oktoba 10, 2023 ametunukiwa Shahada ya Udaktari wa Heshima (Honoris Causa)...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited imenyakua tuzo nne ikiwamo mshindi wa jumla katika maonesho ya teknolojia ya madini yaliyofanyika kwa...
Na ,wandishi Wetu, Gazetini
WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde ametembelea banda la Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) katika maonesho ya sita ya teknolojia...