Na Ramadhan Hassan, Gazetini-Dodoma
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Selemani Jafo, amelitaka Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kushirikiana na taasisi nyingine kutoa elimu kwa...
Na Mwandishi Wetu,Ivory Coast
KATIKA jukwaa kubwa la viongozi wa taasisi za kibiashara barani Afrika, maarufu kama Africa CEO Forum, Tanzania imeendelea kujidhihirisha kama taifa...
Na Ramadhan Hassan, Gazetini- Dodoma
Mbunge wa Singida Mjini, Musa Sima (CCM), ameishauri Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kuzingatia maeneo matano muhimu ya kipaumbele...
Na Ramadhan Hassan, Gazetini- Dodoma
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha bajeti ya Sh Trilioni 2.44 kwa mwaka wa fedha 2025/2026 kwa ajili...
Na Malima Lubasha, Gazetini-Serengeti
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Mtambi, amewataka wananchi kushirikiana kwa karibu na wahifadhi katika kulinda, kutunza na kuhifadhi maeneo...
Na Jackline Jerome, Gazetini
Tanzania inaongoza barani Afrika na duniani kwa ujumla kwa kuwa na idadi kubwa ya simba, ikiwa na jumla ya takribani simba...
By Our Correspondent
The International Women's Peace Group (IWPG), Global Region 2, under the leadership of Regional Director Seo Yeon Lee, successfully held an international...
*Yaadhimisha Siku ya Usalama na Afya Duniani mkoani Singida
Na Mwandishi Wetu, Gazetini-Singida
Serikali imetoa wito kwa waajiri, wafanyakazi na wananchi kwa ujumla kujenga utamaduni wa...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umetenga kiasi cha shilingi milioni 455.7 kwa ajili ya kusambaza mitungi ya gesi 22,785 mkoani Tabora,...
By Absalom Kibanda, Rio de Janeiro-Brazil
President Samia Suluhu Hassan has rekindled the enduring vision of Tanzania’s founding father, Mwalimu Julius Nyerere, by challenging the...
Na Mwandishi Maalum-Gazetini
Tume ya Madini imetoa tathmini ya mafanikio yaliyopatikana katika Sekta ya Madini tangu Rais Samia Suluhu Hassan aingie madarakani. Mafanikio hayo yanajumuisha...
Na Absalom Kibanda, Rio de Janeiro-Brazil
RAIS Samia Suluhu Hassan ameyataka mataifa tajiri duniani ya kundi la G20 kutafakari upya namna bora ya kukabiliana...