Ads: info@gazetini.co.tz |
29.1 C
Dar es Salaam

Author: Gazetini Editor

Serikali yaweka mikakati kudhibiti magugumaji Ziwa Victoria

Na Mwandishi Wetu Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali imeweka mikakati  ya kuhakikisha changamoto ya uwepo wa magugumaji katika ziwa Victoria inapatiwa ufumbuzi ili kuwezesha...

Profesa Janabi ashinda Mkurungenzi WHO Kanda ya Afrika

Na Mwandishi Wetu Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na Mshauri wa Rais Samia Suluhu Hassan  katika masuala ya afya, Profesa Mohammed Janabi, ameshinda...

Rais wa Finland atembelea Machinga Complex

Na Mwandishi Wetu Rais wa Finland, Alexander Stubb leo Mei 16, 2025 akiwa katika muendelezo wa ziara yake hapa nchini ametembelea Soko la Machinga Complex...

Mfalme Zumaridi akamatwa na Polisi Mwanza

Na Mwandishi Wetu Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limesema linamshikilia na kumhoji Diana Bundala maarufu Mfalme Zumaridi kwa tuhuma za kuyageuza makazi yake kuwa...

Bunge lapitisha  Sh 2.746 Trilioni  bajeti ya Wizara ya Uchukuzi

Na Mwandishi Wetu Bunge la Tanzania limeidhinisha Bajeti ya Wizara ya Uchukuzi yenye jumla ya Sh 2.746 trilioni kwa ajili ya utekelezaji wa majukumu yake...

Dk. Biteko afanya mazungumzo na Spika wa Bunge la Morocco

Na Mwandishi Wetu Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko ametembelea Bunge la Morocco ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kikazi...

Rais Mwinyi: Tutamuenzi Charles Hilary kwa utendaji wake

Na Mwandishi Wetu Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amewaongoza viongozi mbalimbali na mamia ya Wananchi katika maziko...

Rais wa Finland ziarani nchini, Rais Samia ampokea

Na Mwandishi Wetu Rais wa Jamhuri ya Finland, Alexander Stubb, amewasili nchini na kupokelewa na mwenyeji wake, Rais Samia Suluhu Hassan, kisha kukagua  gwaride la...

Tanzania, Ivory Coast zajadiliana fursa za kilimo

Na Mwandishi Wetu Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekutana na Waziri Mkuu wa Ivory Coast, Robert Beugre Mambe na kujadiliana naye masuala ya kidiplomasia, kiuchumi, teknolojia,...

Nane kuamua ubingwa daraja la nne Nyamagana, Mabula agawa vifaa

Na Mwandishi wetu, Mwanza Timu nane zilizofuzu hatua ya robo fainali (Super 8) itakayochezwa kwa mtindo wa mzunguko zinatarajia kuamua bingwa wa michuano ya Ligi...

Kagera Sugar rasmi yashuka daraja

Na Mwandishi Wetu Kutokana na ushindi wa Pamba Jiji wa mabao 2-0 dhidi ya KenGold, umeishusha rasmi daraja Kagera Sugar ambayo kwa nafasi na pointi...

Rais Samia aongoza  mazishi ya Hayati Cleopa Msuya,  ataja mambo ya kujifunza

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Rais Samia Suluhu Hassan ameongoza mazishi ya aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu wa Tanzania, Hayati Cleopa Msuya...

Recent articles

spot_img