Ads: info@gazetini.co.tz |
25.2 C
Dar es Salaam

Stay tuned

Subscribe to our latest newsletter and never miss the latest news!
Our newsletter is sent once a week, every Monday.

Latest news

Mfumo wa E-Delivery kutathmini matokeo ya miradi utekelezaji wa Dira 2050

Na mwanishi wetu, Gazetini KATIKA utekelezaji wa Dira 2050, Mfumo mpya wa Kitaifa wa kusimamia Mipango na Miradi ya Maendeleo wa e-Delivery wa Tume ya...

Bandari ya Dar es Salaam yapaa duniani, yaongeza ufanisi

Na mwandishi wetu, Gazetini BANDARI ya Dar es Salaam imeibuka kinara wa ufanisi wa huduma za bandari katika ukanda wa Afrika Mashariki baada ya kupanda...

Maisha, utata wa kifo, maziko ya Rais Edgar Lungu (1)

Na mwandishi wetu, Gazetini HATIMAYE Mahakama Kuu nchini Afrika Kusini imeitangazia ushindi familia ya Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu, katika rufaa yake dhidi...

Sababu 4 Alvarez kutua Arsenal

LONDON, Uingereza STRAIKA wa Atletico Madrid, Julian Alvarez, ameweka wazi kuwa anataka kuondoka klabuni hapo majira haya ya kiangazi. Wakati Barcelona wakiwa wanapewa nafasi kubwa, zipo...

Africa’s Premier Agricultural Stage Returns — Bigger, Bolder, and More Connected Than Ever

The 10th Africa Agri Expo, co-located with the 3rd Future Food Livestock & Poultry Expo — 2nd & 3rd September 2026, Dar-es-Salaam, Tanzania. After nine...

Morocco, Brazil zatinga hatua ya 32 bora, Qatar yaaga

SEATTLE, Marekani MOROCCO imefuzu hatua ya 32 bora ya Kombe la Dunia 2026 baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya Haiti katika...

Kisa maandamano, polisi Kenya wafunga njia kuu Nairobi

NAIROBI, Kenya JIJI la Nairobi limeingia katika tahadhari kubwa ya kiusalama huku polisi wakiweka vizuizi katika barabara kuu na maeneo muhimu ya kuingia katikati ya...

Papa Leo XIV: Njaa si janga la kibinadamu tu, ni hatari kwa Dunia

ROMA, Italia KATIKA kipindi ambacho idadi ya watu wanaokabiliwa na njaa duniani inaendelea kuongezeka kutokana na migogoro, mabadiliko ya tabianchi na changamoto za kiuchumi, Kiongozi...

Trump: Nimeridhishwa na hatua za Irani, ila…

WASHINGTON, Marekani Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema ameridhishwa na mwenendo wa mazungumzo ya maelewano kati ya Marekani na Iran, akidai kuwa Tehran inaonesha ushirikiano...

Matetemeko mawili makubwa yatikisa Venezuela

CARACAS, Venezuela MJI mkuu wa Venezuela, Caracas, mapema leo umetikiswa na matetemeko mawili makubwa ya ardhi yaliyotokea kwa tofauti ya sekunde chache, hali iliyozua taharuki...

Angelina Jolie: Aliishi maisha ya ndoa akiwa na miaka 14

LOS ANGELES, Marekani JINA la Angelina Jolie haliwezi kuwa geni masikioni mwa wapenzi wa filamu duniani. Ni mwigizaji na prodyuza maarufu katika soko la Hollywood,...

Huyu ndiye Waziri Mkuu mpya wa Uingereza?

LONDON, Uingereza BAADA ya Keir Starmer kujiuzulu siku chache zilizopita, majina kadhaa ndani ya Chama tawala cha Labour yameanza kuhusishwa na kiti cha Waziri Mkuu...