LOS ANGELES, Marekani
UMARURU wake ulianza mwaka 2008 baada ya kutumika kama mrembo wa video katika ngoma ya rapa Young Jeezy iitwayo 'Put On'.
Ni wimbo...
MEXICO CITY Mexico
FAINALI za Kombe la Dunia za mwaka huu (2026) zimeshuhudia idadi kubwa zaidi kuwahi kutokea ya wachezaji walioyapa kisogo mataifa waliyozaliwa.
Takwimu zinaonesha...
BOGOTA, Colombia
RAIS aliyeondoka madarakani nchini Colombia, Gustavo Petro, ameendelea kutokuyatambua matokeo yaliyompa ushindi Abelardo de la Espriella.
De la Espriella (47), ameingia Ikulu akimpiku Ivan...
MUNICH, Ujerumani
KOCHA wa zamani wa Liverpool, Jurgen Klopp, amewataja Lionel Messi na Cristiano Ronaldo kuwa ndiyo wachezaji bora duniani kwa sasa.
Klopp amesema siyo ishu...
MANCHESTER, Uingereza
BABA mzazi wa Erling Haaland, Alfie Haaland, amesema hakuna kocha wa kufikia daraja la Pep Guardiola.
Alfie ametoa kauli hiyo baada ya Man City...
LOS ANGELES, Marekani
HIVI karibuni, Shirika la Ujasusi la Marekani (FBI) lilimtia mkononi mfanyabiashara maarufu, Ibrahim Khaldoon Hilmi, aliyekuwa akikimbia kukamatwa kwa miaka mingi.
Khaldoom Hilmi...
JERUSALEM, Israel
WANAHARAKATI wa haki za binadamu duniani wanataka kuona Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita (ICC) ikiichunguza Israel juu ya uhalifu dhidi ya...
LONDON, Uingereza
MKONGWE Alan Shearer ametaja 'first eleven' inayoweza kuipa ubingwa wa msimu wa Kombe la Dunia timu ya soka ya Taifa ya England.
England chini...
CALIFORNIA, Marekani
JUMLA ya timu 19 zimeshakata tiketi ya kucheza hatua ya 32 ya msimu huu wa fainali za Kombe la Dunia.
Timu hizo zilizovuka makundi...