Ads: info@gazetini.co.tz |
22.2 C
Dar es Salaam

Stay tuned

Subscribe to our latest newsletter and never miss the latest news!
Our newsletter is sent once a week, every Monday.

Latest news

Adamu, kaka yake jela kwa wizi msikitini

ABUJA, Nigeria MAHAKAMA ya Wilaya ya Wuse mjini Abuja imewahukumu ndugu wawili kifungo cha miezi minne gerezani kila mmoja baada ya kukutwa na hatia katika...

Mwanasiasa wa upinzani anusurika kuuawa

NAIROBI, Kenya RIGATHI Gachagua, ambaye ni mwanasiasa maarufu wa upinzani nchini Kenya, amedai kuponea chupuchupu katika jaribio la kuuawa. Kwa mujibu wa Gachagua, polisi walivamia kanisa...

Mafanikio ya Rwanda maambukizi ya UKIMWI

KIGALI, Rwanda KWA miaka ya hivi karibuni, Rwanda imewekeza vya kutosha katika kukabiliana na ugonjwa wa Ukimwi, takwimu zinaeleza. Kwa mwaka 2024, maambukizi mapya ya virusi...

Usiyoyajua kuhusu Siku ya Elimu Duniani

Na mwandishi wetu, Gazetini JANUARI 24 ya kila mwaka, Dunia huadhimisha Siku ya Elimu. Siku ambayo jamii hukumbushwa juu ya umuhimu wa elimu bora kwa...

Kipa wa zamani Yanga afariki dunia, alimnoa Kindoki

Na Winfrida Mtoi, Gazetini KIPA wa zamani wa Yanga na timu ya Taifa ya Tanzania, Peter Manyika amefariki dunia leo Januari 26, 2025, wakati akiwa...

Visual| Wanawake 6 wenye ushawishi zaidi Afrika

Na mwandishi wetu, Gazetini WANAWAKE takribani 500,000 waliacha kazi nchini Marekani, kwa mujibu wa takwimu za Jarida la Forbes. Takwimu hizo ni kuanzia Januari hadi...

Visual| Usajili wa watangazaji mapinduzi na hamahama kwenye redio Bongo

Na mwandishi wetu, Gazetini KWA miaka ya hivi karibuni, wamiliki wa vituo vya redio na runinga hapa nchini wameshuhudiwa wakitunishia msuli wa fedha kwa kunyang'anganya...

Visual| Nchi zinazoongoza kwa Pikipiki ‘bodaboda’ duniani

Na mwandishi wetu, Gazetini PIKIPIKI ni chombo cha matairi matau kilichojizolea umaarufu mkubwa katika sekta ya usafirishaji. Wengi wanapoziita 'bodaboda' hulenga pikipiki za biashara, ingawa msingi...

Marekani yajitoa WHO

WASHINGTON DC, Marekani SERIKALI ya Marekani imetangaza rasmi kujiondoa katika Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa (WHO). Rais Donald Trump alisaini agizo la kujitoa WHO...

Ndejembi: Haki za wafanyakazi zinapaswa kusimamiwa ipasavyo

Na mwandishi wetu, Gazetini WAZIRI wa Nishati, Deogratius Ndejembi, amefungua Kikao cha 55 cha Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kinachofanyika...

Mwangwi wa sheria| Polisi haihusiki na kesi hizi-2

WAKATI mwingine, kutokujua sehemu sahihi ya kupeleka malalamiko yako kunaweza kukupotezea muda, nguvu, na hata haki yako. Mathalan, kwenda polisi kwa suala la madai ni...

Bruce Melodie agonga kolabo na Diamond Platnumz

Na mwandishi wetu, Gazetini MSANII wa muziki nchini Rwanda, Bruce Melodie ametoa kibao kikali kinachokwenda kwa jina la POM POM. Katika wimbo huo, Bruce Melodie amepiga...