Ads: info@gazetini.co.tz |
22.2 C
Dar es Salaam

Stay tuned

Subscribe to our latest newsletter and never miss the latest news!
Our newsletter is sent once a week, every Monday.

Latest news

Waziri Mkuu ataka kazi za Serikali zifanyike Dodoma

Na Mwandishi Wetu, Gazetini WAZIRI Mkuu Dk. Mwigulu Nchemba amesema Serikali inataka kazi zote zifanyike makao makuu ya nchi Dodoma ili kusogeza huduma karibu na...

Visual| Makocha bora 10 wa muda wote EPL

LONDON, Uingereza KWA miaka zaidi ya 33, Ligi Kuu ya England (EPL) imeshuhudia makocha wakiingia na kutoka, wachache tu wakimudu ushindani uliopo na kujijengea heshima...

Visual| Gen Z wafikia bilioni 1.9, Gen A waongoza duniani

Na mwandishi wetu, Gazetini KWA mujibu wa takwimu za Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu duniani, kwa sasa idadi ya vijana waliozaliwa...

Riccardo Leighton; Anavuna pesa nyingi kuwauzia magari mastaa EPL

LONDON, Uingereza Leighton ndiye anayewauzia magari mastaa wengi wa klabu. Miongoni mwao wachezaji aliochota fedha zao kwa kuwauzia 'mandinga' ya kifahari ni Harry Kane, John...

Polisi wakanusha waasi kuvamia kanisa

LAGOS, Nigeria POLISI nchini Nigeria wamekanusha taarifa zinazodai kuwa kikundi cha waasi kimevamia kanisa na kuteka waumini huko maeneo ya Kaskazini. Akikanusha uvumi huo, Kamishna wa...

Helikopta ya watalii yapotea Japan

TOKYO, Japan HELIKOPTA iliyoripotiwa kubeba watalii wawili imepotea karibu na Mlima wa Aso nchini Japan. Ni moja ya milima yenye volkano hai nchini humo. Taarifa ya...

Marc Guehi; Usajili wa nguvu kwa Pep Guardiola

MANCHESTER, Uingereza MANCHESTER City imekamilisha usajili wa beki wa kati kutoka Crystal Palace, Marc Guehi, ambaye ametokea Crystal Palace kwa ada ya Pauni milioni 20. Guehi...

Nicola Peltz; Mkwe anayeivuruga familia ya Beckham

LOS ANGELES, Marekani Kwa sasa, mtoto wa kiume wa Beckham, Brooklyn, haongei na baba wala mama yake. Kama hiyo haitoshi, alishahama nyumbani kwao na kujiweka...

Afya ya Besigye yazua hofu Uganda

KAMPALA, Uganda HALI ya afya ya mwanasiasa maarufu wa upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye, imeripotiwa kuwa mbaya wakati huu akiendelea kusota gerezani. Kwa mujibu wa kile...

Jela maisha kwa kumuua Waziri Mkuu

TOKYO, Japan TETSUYA Yamagami ambaye ni mshitakiwa wa mauaji ya Waziri Mkuu wa zamani wa Japan, Shinzo Abe, amehukumiwa kifungo cha maisha. Yamagami amekuwa chini ya...

Anayeshutumiwa kusuka mauaji ya Traore akamatwa

OUAGADOUGOU, Burkina Faso RAIS wa zamani wa Burkina Faso, Paul-Henri Sandaogo Damiba, amekamatwa na vyombo vya dola vya Togo, na kisha kurejeshwa nchini kwake, ambako...

Waziri Mkuu atangaza Uchaguzi New Zealand

WELLINGTON, New Zealand WAZIRI Mkuu wa New Zealand, Christopher Luxon, ametangaza kuwa Uchaguzi Mkuu nchini humo utafanyika Novemba 7, 2026. Akizungumza na waandishi wa habari leo...