JAKARTA, Indonesia
WATU wawili wa jinsia tofauti wamecharazwa jumla ya viboko 140 kwa makosa makubwa mawili ya uzinzi na ulevi wa pombe.
Ifahamike kuwa vitendo hivyo...
CAIRO, Misri
KLABU ya Al Ahly imemtoza faini kiungo wake raia wa Misri, Emam Ashour, kwa kitendo chake cha kushindwa kusafiri na kikosi kitakachoivaa Yanga.
Timu...
Na mwandishi wetu, Gazetini
'BANANA', kama inavyotamkwa kwa Kiingereza, ni neno lenye maana ya 'ndizi' kwa tafsiri ya lugha ya Kiswahili.
Katika duru za kisiasa, 'Banana...
Na mwandishi wetu, Gazetini
ZANZIBAR imeshuhudia ongezeko kubwa na la kihistoria la watalii wa kimataifa katika kipindi cha miaka sita iliyopita, mafanikio yanayohusishwa moja kwa...
Na mwandishi wetu, Gazetini
KWA zaidi ya miongo miwili sasa, kampuni ya PMM Estates (2001) Limited imeendelea kujijengea heshima kama moja ya taasisi muhimu katika...
CAIRO, Misri
SHIRIKISHO la Soka barani Afrika (CAF) limeziadhibu timu za taifa za Senegal na Morocco kwa vitendo vya utovu wa nidhamu vilivyooneshwa katika mechi...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
WAZIRI Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba, amewataka wafanyabiashara wa vyakula nchini kuacha kuwaumiza wananchi katika kipindi cha mfungo wa Ramadhani na Kwaresma...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
SHIRIKISHO la Soka Tanzania, (TFF) limeufungia uwanja wa KMC, uliopo Mwenge, jijini Dar es Salaam kutumika kwa mechi za Ligi kutokana...
Na mwandishi wetu, Gazetini
'DO or Die' ndicho kitu pekee wanachohitaji Simba ili kuvuka makundi na kuingia robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu...
NEW DELHI, India
UHABA wa wafanyakazi unaoikumba Urusi kwa sasa umegeuka fursa kwa raia wa India, ambao sasa wanamimilika kwa wingi nchini humo.Raia wa India...
Na mwandishi wetu, Gazetini
WIZARA ya Madini imetangaza mafanikio makubwa katika utekelezaji wa ahadi na maelekezo ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, ndani ya siku...